mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 262
wakuu simu yangu mpya wa tecno inabadili pics baada ya muda kuwa thumbnail na hata nikitumiwa video naiangalia baada ya muda haifunguki teena niikiifata kwenye galley haifunguki vivyo hivyo na picha baada ya muda na zenyewe hazifungi.
nimejaribu kuiformat bila mafanikio nimeweka ant virus nika scan na penyewe hakuna mafanikio sasa naomba mnisaidie
nimejaribu kuiformat bila mafanikio nimeweka ant virus nika scan na penyewe hakuna mafanikio sasa naomba mnisaidie