licha ya kuinstall bass boster kwa android yangu nahitaj headphones zenye uwezo mkubwa kutoa mzik. natumia sony lakin sijazikubali hata. napenda ziwe za rubber za maskion. pia napenda mwenye ufaham kuhusu headphones za dr dre anipe info.
licha ya kuinstall bass boster kwa android yangu nahitaj headphones zenye uwezo mkubwa kutoa mzik. natumia sony lakin sijazikubali hata. napenda ziwe za rubber za maskion. pia napenda mwenye ufaham kuhusu headphones za dr dre anipe info.
kwa vile umeuliza kitaalam zaid nimetuma sample ya mchoro unielewe.
Tumia zile zinazokuja na simu za Nokia.
Ni nzuri, nenda pale phone1 mcity au tigo shop watakuuzia kama accessory
Nokia walikuwa wanatoa headphones nzuri sana, mziki wake wa kiwango cha juu mno.
Ngoja na mimi Nitatembelea huko hivi karibuni, maana za sasa hivi nyingi zinaumiza masikio tu.!
Kama upo tayari kutoa dola 30 hadi 100 zipo beats (htc na apple) na zipo monster (mara nyingi zinakuja na nokia lumia za highend.kwa kiwango cha ubora wa headphones ninachomaanisha hatupaswi kujadili hiz za nokia. hizo zipo pengi tu. hata za sony sh 6000 ni nzuri tu. kuna headphones jamaa alinambia alinunua laki na kitu lakin hujutii hiyo pesa.
lakini kumbuka kulinda masikio yako , hizi earphone za kudumbukiza masikioni kabisa ni hatari sana usipotumia kwa makink unaweza kupunguza uwezo wako wa kusikia kwa kiasi kikubwa bila kujua
Mm napenda sana headphones tena zile kubwa kama za rubani au DJ. Nazipata wapi zile zenye njia nyingi maana zamani nilikua nazipata kariakoo ila duka nililokua nazipata sijazipata tena.
sawa sawa sasa hizi ni In-Ear , kuna mdau amesema anazo headset za apple ila sidhani kama apple wanazo In-ear , zaidi zaidi wanazo earbudds
Mkuu tofauti zake ni nini haswa kwa picha na maelezo
Ninge google lakini lugha ya malikia nayo ni shida





1. InEar Headphones => Hizi zinachomekwa ndani kabisa ya tundu la sikio, Pia zinaitwa "Noise Isolator" kwa sababu zinazuia kabisa usisikie sauti kutoka nje ya sikio. Zinakuwa na Rubber kama kifuniko au kofia inayo zama sikioni.
IN-EAR HEADPHONES/SETS
View attachment 279224View attachment 279225
2. EARBUDDS=> Hizi ni zile headphones/sets ambazo zinajishikiza tu kwenye sikio la nje , zingine huwa na sponji na zingine huwa hazina sponji. Aina hii huwa inakuwezesha kusikia sauti kutoka nje wakati huo huo ukisikia sauti ya headphone.
EARBUDDS HEADPHONES/SETS
View attachment 279226View attachment 279227
3.FULL SIZE NOISE CANCELLATION HEADPHONES
View attachment 279228