Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,455
- 5,326
Wapendwa wa jukwaa hili,kwa yeyote aliyewahitumia simu tajwa hapo juu. Je mna maoni gani juu ya simu hizo kwa kuzingatia ubora wake na matumizi. Alafu mkuu Chief-Mkwawa hivi simu ya android ambayo kwenye specs zake inaonesha haiwezi play MP4 au FLAC files je kuna app ambayo naweza kudownload ili niweze kuplay hizo file katika simu ya namna hiyo??
Naomba kuwasilisha.
CC Njunwawamavoko
Naomba kuwasilisha.
CC Njunwawamavoko
Last edited by a moderator: