mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Wakuu nilitamani kuuweka huu uzi kwenye jukwaa la matangazo ila nikaona nililete humu maana nitapata ushauri wa kiutaalamu pia..natafuta laptop ya kununua..specs ram kuanzia 6gb,core kuanzia i5 na kuendelea,disc walau 500gb and above..naombeni ushauri wa brand ipi ni nzuri na wapi naweza nikaipata...karibuni waheshimiwa