Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Habari za majukumu wadau, nitumia Toshiba Satellite Pro nikiwa nimeweka windows 8. Ghafla jana baada ya kuwasha PC nikakutana na tatizo la MOUSE KEY kutokuwepo lakini nikijaribu kutumia SHIFT+ALT+NUM LOCK Mouse inatokea na nikitumia numbers kumove inakubali lakini nikitoa option hiyo nakutaka kutumia kwa njia ya kawaida mouse haitokei.
Natanguliza Shukani
Natanguliza Shukani