Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wanajukwaa wenzangu, shida yangu ni moja, nimeletewa simu aina Tecno Y4 ambayo ime-corrupt software, sasa lengo langu ni kutaka ku-factory reset. Hatua1. niliyofanya niku-bofya Volume...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Huwezi kuacha kumtaja HTC pale unapoongelea wabunifu bora wa smartphones. Lakini kuna jambo moja ambalo linamnyima raha sana, na ni dosari kwake. Inaonekana ya kwamba anajitahidi kila awezavyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau nlijua nina plan ya kununua laptop.....matumizi makubwa ntakayokua nafanya ni Gaming(playing pc game) Sasa ningeomba perhaps specification ambazo uangalau zitakua poa for gaming...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WINDOW 7 KEY & regclean au Toolkit.
0 Reactions
0 Replies
692 Views
galaxy pocket imeandika onkey 7s reset kuna utaalam gani niweze kurekebisha, Nilijaribu hard resert ikakubali tatizo nikijaribu tu kudownload application yoyote inakwama na ku"vibrate non stop.
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Namtumia tecno h6 ila hili lisimu nikiongea hata dk 10 Sim inashika moto... Sometimes inabidi niweke loudspeaker.... Pia mwanzo nilikuwa naweza login TCU ama heslb na ndo Lili kuwa lengo la...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Nilikuwa najaribu tuu naomba mwongozo wa kutosha kwenye hii ymollel cheif-mkwawa kcamp Nimejaribu kwenye simu yangu samsung s3 imefanya kazi... Bt nimetumia free server... Not premium...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niaje web developer ! Naitaji msaada kama picha inavyoonesha, kwa yeyote mwenye idea huu ndo uwanja wake karibuni.. Asantee
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu ina wezekana kuficha data into audio file alafu ukaweza kuzi import katika device yoyote mtu aki access hiyo device anaona audio tu sio zile data ulizoweka je inakuwaje hii kitu.....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini nyote. Hope you are okay. Well, kama tunavyojuwa kuwa ukitaka ku-download/ku-update apps via PS huwa mpaka umalize app 1 ndio uchukue nyingine. Kuna njia ambayo inawezekana kuitumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za saa hizi, Mimi mwenzenu kuna mtu alitoka nje (Netherlands) akaniletea external HDD ya samsung model no. NM-0810 ambayo ni 1TB ambayo hata nilivyoichomeka kwa Mara kwanza kwenye PC...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
https://www.cybrary.it/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua uanafanyeje Ku bold na kuweka rangi kwenye maandishi kwenye smartphone?
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Wataalam hivi suppose mtu uko Tanzania na unataka uweze tazama channel ambazo ni za lkulipia za Europe mfano complete channelz sa skytv ya UK zote ..skymovies skysports....na channel za Ufaransa...
0 Reactions
30 Replies
16K Views
Simu yangu ni nokia xl ila inakataa kuinstall whatsapp app.nikiidownload inakubali nikiifungua inataa kufunguka inaniandikia kuwa niunstall whatsapp nidownload tena ila nikifanya hivo tatizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wana jukwaa nilikuwa naomba msaada jinsi ya kuongeza admin mwingine katika akaunti ya google adsense nisaidie please!!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari za majukumu kuuliza si ujinga kunajamaa yangu yuko na iphone 6 plus kinachonishangaza ni intenal storage mi nimekuwa nikijua kwenye six plus kuna Gb 16,64 na 128 hii 32 sijawahi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi wana IT nina Ndugu yangu anatumia blackberry curve sasa ile button ya katikati ya kuserch imestuck ivyo kama anataka kusearch jina la mtu ili ampigie simu hawezi wala kusearch kitu chochote...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Wadau ninaomba kuuliza ni Antivirus ipi ni nzuri na ni bora ktk simu za android
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Naomba wajuzi wa teknolojia na mambo ya simu mnijuze, smart phone ni zipi, na kwanini zaitwa smart phone?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…