Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

ngoja tu niwe straight forward ajira za i.t hua haziangalii g.p.a but hua tunaangalia uzoefu wa mtu katika practical solutions za i.t,na hii hutokea pale ambapo mhitimu kapata hata 1st class ila...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu, In light of hii sheria ya mitandao, ni muhimu kumaintain privacy yako against unwanted intruders. Naomba mniambie VPN (Virtual Private Networks) service providers kwa hapa Tanzania ambazo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar wanajamii Kama habari inavyosomeka hapo juu, ninahitaji software ya TALL ERP 9, aliyenayo ani pm tafadhali
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Wadau naomba kujuzwa aina ya gundi, nzuri kwa ajili ya kuziba mashine hii kuzuia kuvuja. Hii ni baada ya kuivunja kwa mzunguko ili kubadili bearing. Nimejaribu silicon za kawaida lakini naona...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji developer wa mobile application for all platforms i.e iOS, Android na Windows kwa kazi ya muda mfupi, nahitaji mobile application kwa ajili ya biashara yangu. Naomba tuwasiliane kwa namba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://tztech.byethost4.com Hebu check Jukwaa la Technology lililotengenezwa na kijana wa hapa hapa TZ, anahitaji support yenu ili kulimodify vizuri, kupata moderators na kununua domain name
0 Reactions
0 Replies
843 Views
niaje wakuu. Msaada kwa mwenye Apk ya jamii forums latest version,maana now nashindwa kuipata coz nimeichomoa Playstore baada ya ku root sim yangu
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wasalaam members ya jukwaa hili, nina mashine ya kufulia indesit wixl 143, ilikuwa na tatizo la bearing, pamoja na ugumu wa kubadilisha nilifanikiwa. Lakini baada ya zoezi hilo. Ukiweza nguo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natmia nokia E5 ila ttzo linalonisumbua kwenye cm yang inazima zima sana shajaribu ku factor restore ya *#7370# but bado tattzo linaendelea pls naombeni msaaada wadau
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Wadau Nina kingamizi cha TING ambacho nimerithishwa lakini bahati mbaya sikupewa smart card yake.Hapo naweza fanya vipi ili niweze kuendelea kukitumia
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Turbo ya iveco stralis 435 inauzwa kwa 8milion call 0769038065
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Laptop yangu ilikufa so kuna parts kama ram (2x2GB) HDD 500GB, SCREEN 17.4 inch 1600x900 resolution, keyboard.
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Natumia Lumia 430 ila nimeingia katika store app ya JamiiForums haipo. Pia katika google play nayo haikubali kudownload. App nyingi tu nazikosa katika store ya hii simu, nifanyeje niweze kuzipata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kwamba haya mazingaombo yanayofanywa na watu wa hii dunia ni kwamba hawa watu ni sayansi zao ama ni uchawi, naamini humu ndani kuna wanasayansi waliosomea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau nina simu tajwa hapo juu Nokia Lumia 1520 32 GB internal memory 2 GB ram nk White color Bei 750,000/= Tsh Napatikana Tanga No. 0713422826 Bahati mbaya picha zinashindwa ku upload ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu. Simu yangu inatumia OS ya window 7 data zangu zipo kwenye device na si kwenye SD Card,nataka kutumia simu nyingine yenye OS ya Android nimehangaika sana msaada wenu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye nayo tafadhali, kati ya AutoCAD 2015 na AutoCAD 2016 tuwasiliane naihitaji sana
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello Can anyone please help me on how to generate an unlock code for for Alcatel Onetouch x230e-2latte3 modem? my imei number is 867612008833794 Thanks
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nawasilisha kilio cha rafiki yangu anasimu yake ila screen ni ndogo hivyo mara kadhaa analalamika kwenye uandishi wa sms kuwa anakosea sana. Mm nikamshauri awe anaweja Auto rotation wakati ana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mida wandugu polen na pilikapilika za uchaguzi mwenzenu nina shida nilikua natumia simu na kuhifadh contacts kwenye email leo nataka nizitumie sizioni nina wasiwas pengine sijui mahal...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…