Wakuu naomba msaada wenu. Simu yangu inatumia OS ya window 7 data zangu zipo kwenye device na si kwenye SD Card,nataka kutumia simu nyingine yenye OS ya Android nimehangaika sana msaada wenu tafadhalini.
Tafuta pc, download zune then sync simu na pc vitu vyako vitaingia kwenye pc