Mashine ya kufulia nguo

KIBUKUSA

Member
Dec 13, 2013
84
29
Wasalaam members ya jukwaa hili, nina mashine ya kufulia indesit wixl 143, ilikuwa na tatizo la bearing, pamoja na ugumu wa kubadilisha nilifanikiwa. Lakini baada ya zoezi hilo. Ukiweza nguo, washing program led lights, water comes in through the inlets but washing (back and fro) does not start. Baada ya muda water comes out, and lastly the door led and one blue led flashes rapidly. NOTE: it rinses and spins. Naomba msaada wadau.
 
cheki lid switch kama iko okay..cheki drive belts kama yeyote ipo loose....fungua pcb module(control cct board) then cheki kama kuna capacitor iliyo feli..capacitor ikifeli inakua bulged kwa juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom