Habar wanajf napenda kusikia maoni kutoka kwenu.
Natumia huawei 330 IPO rooted baada ya mda mrefu naitumia katika ubora wake ila likatokea tatizo LA kupotea kwa phone icons na contact katika...
The best gadget gadget unatikiwa kuwa nacho;
You can talk free ukiwa kwenye gari lako bila usumbufu wa kuweka masikioni the sound utaisikia kwenye system ya gari lako.
Just plug it in your...
Nina TECNO H5 ukidownload APPS kutoka google playstore inakuwa inaonyesha kwamba app has been stoped na huwez kufungua hyo app tena. Nimejarib hata AMAZON APPSTORE inakataa kufungua. Msaada tafadhali!
Camera imeharibika ina rangi ya pink,housing imechakaa,mtu akinipigia namsikia ila yeye anisikii had niweke loudspeaker ndiyo ananisikia. Pia,nikirikodi sauti inasikika chenga. Kubadilisha vyote...
Is it better to learn html, javascript, php,
then mysql if you want to start your
site? Is it better to learn it in that order
or not or any advice for beginner please ?
kuna mtu ananiuzia dell inspirion 5421 touch screen kwa laki mbili na themanini ni used lakini sio sana je nichukie au manake na wasi wasi labda itanisumbua
computer yangu sony vaio core i3, ram 3gb,hdd 320 e series vpceb44en inapata heat sana mpaka naogopa naombeni kujua tatizo itakua nn maana feni linafanya kazi ila naona kama halisaidii kitu
Heshima kwenu magwiji wa Technolojia!
Bila kupoteza wakati naomba kujuzwa uwezekano wa kutengenezwa kwa Mobile Application yenye uwezo wa ku broadcast live audio visual event na anayeweza kufana...
simu yangu imekuwa na desturi ya kuinstall application yenyewe,hata ni kiziunstall baada ya muda zinajiistall tena.application zenyewe ni kama hizi T share,battery doctor,cool browser na...
Wakuu naomba msaada wa hili jambo nina tablet inatumia 3Gdoungle sasa naomba msaada wa maarifa jinsi ya kutumia tablet yangu maana haisomi kadi ya simu ya voda wala tigo na internet hamna mpaka...
Wakuu nimepewa tablet imetoka china lakini sasa inatumia 3G doungle nikiweka line haisomi sipigi simu wala kupata internet naomba msaada wa namna ya kuifanyia setting wadau ili niwe...
Habar wadau! nina toyota hiace super custom, manual ina 3Y carburator engine. inakula sana mafuta 6km/l. nafikiria kufunga injini ya 3y-fe au 3s ambazo ni fuel injected. ushauri please!
Habarini, WanaJF,
Kuna jambo linaniumiza kichwa. Ningependa kuuliza hivi kuna milango ya vioo ambayo wezi hawawezi kuivunja. Kama ipo hapa Dar, naweza kuipata wapi?
Karibuni wadau mnisaidie..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.