Tafakari,, huu ni uchawi au ni sayansi

Tafakari,, huu ni uchawi au ni sayansi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kwamba haya mazingaombo yanayofanywa na watu wa hii dunia ni kwamba hawa watu ni sayansi zao ama ni uchawi, naamini humu ndani kuna wanasayansi waliosomea laws, theories na facts tutachangia hii mada ili tumalize mjadala....
mazingaombwe nayoyaona hapa kiukweli yananipa maswali mengi yasiyo na jibu,ewe mwanasayansi nimekuwekea hapa video nne tu uweze kumaliza mjadala kwa hoja yako

https://www.youtube.com/watch?v=PDEwCBaZpdo kaingiza penseli ndani ya coin

https://www.youtube.com/watch?v=FjdTs56wbMY katembesha midori

https://www.youtube.com/watch?v=ZwjBBcHYcmc kamrudisha uhai ndege anaekufa

https://www.youtube.com/watch?v=sBQLq2VmZcA kutembea juu ya maji
 
Wengi wanatumia ujanja tu, Wala hakuna uchawi. Yawezekana wengine wanatumia viinimacho ila wengine ni ujanja tu. Wanahamisha attention ya watazamaji Halafu wanafanya movements na vitendo ambavyo ni very fast kwa sababu ya mazoezi ya muda mrefu. Na wakati mwingine kunakuwepo maandalizi ya Mazingira ambayo watazamaji Hawawezi kuona. Jaribu ku-google "the greatest magician's secrets revealed" Nadhani Unaweza kupata baadhi ya mbinu zao.
 
Wengi wanatumia ujanja tu, Wala hakuna uchawi. Yawezekana wengine wanatumia viinimacho ila wengine ni ujanja tu. Wanahamisha attention ya watazamaji Halafu wanafanya movements na vitendo ambavyo ni very fast kwa sababu ya mazoezi ya muda mrefu. Na wakati mwingine kunakuwepo maandalizi ya Mazingira ambayo watazamaji Hawawezi kuona. Jaribu ku-google "the greatest magician's secrets revealed" Nadhani Unaweza kupata baadhi ya mbinu zao.

Unaposema hakuna uchawi halafu kuna viinimacho unamaanisha nini kaka
 
Hizo zote trick tu.. watu wako serious na kazi zao, hamna uchawi hata kidogo
 
Watu wengi huwa wanasema magic is just the science that we don't understand .Ila kiukweli hizi nifield mbili tofauti japokuwa katika mambo mengi zinategemeana na sehemu zingine zinafanya kazi sawa.Mfano katika magic kuna uwezo wakitu kupotea mahali husika na kuwa sehemu nyingine. Einstein alijaribu kuelezea hii kitu katika sub atomic kuwa particle zina uwezo wa ku appear and disappear seemingly interms of science pia katika magic kuna kitu kinaitwa telepathy uwezo wa kuzungumza na mtu bila kuongea. kuna taarifa nliskia MIT wameweza kuifanya telepathy kuwa real in science. So on my perspective kwa ulimwengu huu wa sasa wana science wengi wanaangaika
ku advance things of magic ambazo mnaziita illusion kuwa their technological advancement ukita kujua hili ni kweli ebu fuatilia nanotechnology......so magic is far away from science and science needs magic.... ila kwa hizo video ni tricks tu hamna real magic
 
mzee wangu anafanya hizo tricks wala sio ngumu, mazingaombe yana majibu kila sehemu.

1. kutembea juu ya maji = kutembea juu ya kioo, kuna vioo anavyokanyaga kwa juu

2.kumrudisha ndege uhai angalia kwa umakini kile kichwa (anachotudanganya ni cha ndege) ameendelea kukishika ambapo tayari ndege amefufuka angalia exactly dakika ya 1 na sekunde 12 hadi 13 utaelewa.

3.penseli na coin angalia vizuri kuanzia sekunde ya 40 utaona ile coin ilikua na tundu (kwa mbali) then alivyoishika ameziba lile tundu na kidole (inamaana alikuwa na kitu mkononi alichotumia kuziba tundu la coin, ndio maana penseli ikaweza kupenya kwenye tundu kiurahisi sababu tayari ile coin ilikuwa na tundu. alichotumia kuzibia mwanzo ndio ametumia kuzibia mwisho.

4.hio ya elephant ndio fake kabisa sababu wanaswitch frame (kuonyesha watazamaji) inamaana anaweza fanya lolote pindi camera ikiwa haimuangalii na ametoa yale masponge ya mdoli ya tumboni/mgongoni na sio miguuni as if alikuwa anatembelea tumbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom