Pitia hapa mdau wa Jukwaa hili utoe msaada

Pitia hapa mdau wa Jukwaa hili utoe msaada

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Nawasilisha kilio cha rafiki yangu anasimu yake ila screen ni ndogo hivyo mara kadhaa analalamika kwenye uandishi wa sms kuwa anakosea sana. Mm nikamshauri awe anaweja Auto rotation wakati ana chat lkn hajaonesha kuridhika.
Anaomba mwenye kujua App ya keypad au keybod ile ya simu za kawaida sio hizi za herufi moja moja tumsadie...
Karibuni kwa ushauri kama nimeeleweka.
 
1. Kioo kibaya chenye response ambayo sio nzuri kinaweza kufanya usitype vizuri, zipo iphone/lumia zina vioo vidogo kama lumia 620 au iphone 4 lakini kuandika sio shida.

2. Anaweza jaribu swiftkey ipo store ni keyboard nzuri aone kama italeta mabadiliko.

3. Kama itakataa itabidi atafute zile keyboard za kizamani ambazo herufi 3 au 4 zinakaa pamoja

Google maneno haya

Number pad keyboard apk

Zitakuja keyboard zenye layout kama hii
HeL7rA_G18E2T_mSY9jau2XH1dqKeEbzawamq5UJRIN9ithvAsA8fdykZkH0BwgYwQ=h900
 
Nilijaribu kumtafutia mkuu nikaona zinakuja lkn zikawa hazina mwelekeo zingine hazifunguki.
Ndio maana nikaweka huu uzi.
Binafsi na tumia A.i. type. Ila ngoja nimuwekee hiyo swiftkey.
Ila anayoitaka yeye ni kama hiyo uliyo weka screenshoot yake. Maana hii ya herufi moja moja zinabanana sana.
 
Kama simu ni ya android ingia settings,check kwenye language and input tafuta ubadili lay out ya keyboard,kama hakuna download go keyboard halafu kwenye layout uchague hiyo ya option tatu kwa button moja
 
Thanks wakuu nimefanikiwa nimesha muwekea.
 
1. Kioo kibaya chenye response ambayo sio nzuri kinaweza kufanya usitype vizuri, zipo iphone/lumia zina vioo vidogo kama lumia 620 au iphone 4 lakini kuandika sio shida.

2. Anaweza jaribu swiftkey ipo store ni keyboard nzuri aone kama italeta mabadiliko.

3. Kama itakataa itabidi atafute zile keyboard za kizamani ambazo herufi 3 au 4 zinakaa pamoja

Google maneno haya

Number pad keyboard apk

Zitakuja keyboard zenye layout kama hii
HeL7rA_G18E2T_mSY9jau2XH1dqKeEbzawamq5UJRIN9ithvAsA8fdykZkH0BwgYwQ=h900

Mimi natumia lumia 620, je naweza weka kama hiyo uliyoweka hapo ktk screen shot?
 
Back
Top Bottom