VPN service providers in Tanzania/East Africa

VPN service providers in Tanzania/East Africa

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Wakuu,
In light of hii sheria ya mitandao, ni muhimu kumaintain privacy yako against unwanted intruders.
Naomba mniambie VPN (Virtual Private Networks) service providers kwa hapa Tanzania ambazo ni free au easily affordable. Asanteni!
 
Kama huyo VPN provider ni wa TZ hawezi kukulinda maana ataenda kufuatwa yeye atatoa data zako zote. Wa nje kidogo kuna afadhali kutegemea na unachoaficha.
 
Tumia TOR browser kama unataka kuwa anonymous mtandaoni.
 
Kama huyo VPN provider ni wa TZ hawezi kukulinda maana ataenda kufuatwa yeye atatoa data zako zote. Wa nje kidogo kuna afadhali kutegemea na unachoaficha.

hotspot shield provider sio wa tz, waweza kuchagua kuwa anonymous kwa kutumia anonymizing servers za USA, Germany, Japan. e.t.c by the way hotspot shield IPO flexible kote kwenye simu na pc
 
Wakuu,
In light of hii sheria ya mitandao, ni muhimu kumaintain privacy yako against unwanted intruders.
Naomba mniambie VPN (Virtual Private Networks) service providers kwa hapa Tanzania ambazo ni free au easily affordable. Asanteni!
Mkuu unataka privacy sana kwani unampango wa kufanya yaliyo mabaya au ni kuaccess tu viwebsite vilivyozuiwa kazini kwenu?
Huwezi kuwa na 100% privacy online asikudanganye mtu,njia zinazotumiwa ni kuchelesha tu jamaa wasikukamate kirahisi.labda kama ni hackers wa ukweli unatengeneza haching tool zako hapo walau itawachukua muda.lakini user wa kawaida kuwa mpore tu.
Kila kitu kiko monitored kuanzia phyisical mpaka kwenye cyber so stay safe,keep yourself away from the police.
 
Back
Top Bottom