Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau nikichukua video kwa simu yangu kwa dakika kumi tu, video hiyo itaonesha imechukua zaidi ya mb300 kwenye file. Nahitaji app itakayoweza kugeuza hiyo video na kuifanya ichukue sehemu ndogo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Nina Galaxy Note 3 ambayo ina matatizo matatu; Unknown Baseband Version Null IMEI, nimerestore IMEI lakini haikufanikiwa kurejea Pia hii simu haikamati mtandao kabisa. Nimeona nikilileta...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
kichwa chahusika wadau...naomba mnisaidie kupa solution ya tatizo langu hapo...natumia Android
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kampuni ya kutengeneza simu na bidhaa za kielektroniki kutoka Marekani, Apple, imefichua kuwa hakuna anayeweza kudukua siri za wateja wa simu za IPhone. Katika stakabathi rasmi zilizowasilishwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
have you ever thought of getting into IT field but by some reason you cant pursue due to financial restriction? well, i believe in one thing, learning should be without boundaries. before...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani unbadili vipi username JF username natumia app!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwen wana jukwaa.nahitaji sceen complete ya iphone 6plus niko mwanza.na just to know it will cost how much
0 Reactions
0 Replies
553 Views
wakuu nisiwachoshe sanaa. naamini humu kuna wataalam mbali mbali na ikiwezekana kunaweza kukawa na hata watu waliowahi zitumia hizi TORCH kama ambavyo zinaitwa. hapa namaanisha ni zile kamera...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki. Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nikiamini jf ni sehemu ya wabobezi katika technology naomba msaada kujuzwa namna ya kuhide/ kuficha profile photo kwenye watsapp kwa baadhi ya watu ambao nachat nao huku wengine wakiiona...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Private Island | Virgin Limited Edition | Necker Island Anyone can make something brilliant like this?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habarini za muda huu samahani wakuu nina simu yangu aina ya tecno M3..inanisumbua sana yaan nikiwasha data tu matangazo kila muda hadi kero naombeni utatuzi juu ya hilo wakuu chief mkwawa...
0 Reactions
5 Replies
746 Views
I recently purchased an item from EBay and the seller shipped the item using Singpost. Its have been 38 days now since it was shipped and I've not yet received it. The problem I get is does...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Wakuu naomba msaada wenu kwani mimi ninasimu aina ya samsung GT S5830.Mwanzoni ilikuwa na version 2.3.6 ila nilikuja kuizidisha version ya os (jelly bean ya 4.1.1).Na ikawa inafanya kazi kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ntaka nijitose kwenye hii simu kwa vile nimeona ina price/specs nzuri na inategemewa kupata Android M. Bongo inapatikana? Na ni bei gani?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Niliagiza Playstation 4 kutoka Walmart USA lakini imekuja na shida ya hdmi port coz nimetest na tv nyingi za hd na cable tofaut nimegoogle solution zimegoma, nimeona sony wamesema kwenye article...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Possible questions za interview ya ict(oral) ni zipi? Natanguliza shukran wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimevutiwa kuanzisha mada yenye utofauti kidogo, mada hii imepata msukumo wa kuwa na mada nyingi zinazofanana ambazo hazikuwa na haja ya kurudiwa. Mfano kuna baadhi tunaanzisha mada mpya...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu tunataka kufanya group yetu ya WHATSAPP kuwa SACCOS hivyo nahitaji mwenye DRAFT ya Katiba anitumie inbox ili niifanyie editing ready for use.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…