Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Niko na simu ya iphone nimeuziwa ila kila nikijaribu kuweka laini inagoma imepigwa lock nimeshindwa kutoa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, ninasimu tajwa hapo juu, tatizo betri yake kimeo ila naikubali sana nipo tabora, nimetafuta betri yake tabora nzima madukani sijaipata kama kuna mtu anafahamu maduka yawapi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeanza ghafla tu sijui tatizo ni nini? Wapi nitapata msaada line ni ya Airtel
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Dfghjjcgy
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tatizo :Simu ya nokia haisomi laini nilipeleka kwa fundi nikaambiwa tatizo housing na motherbord nikanunua bado ikawa haisomi nikapeleka kwa fundi mwngine akanambia shida ni IC sasa nahitaji...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Msaada jmani hivi Kati ya computer engineering na software engineerng ipi ni nzuri zaidi kuisoma?
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Nikiwasha PC inaniandikia "Enter user HHD password" na mm nimeisahau tafadhali mwenye uelewa Wa suluhisho la swala hili anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Msaada wakuu natumia pc tatizo kila nikiweka bluestack inagoma kuoparate so nahitaji msaada shida kubwa ni whatsapp
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa.Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Natumia
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Natafuta CCTV technician ambaye atakuwa tayari kufanya kazi mikoani. Nina wateja kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi. Tuwasiliane kupitia PM, then nitakupigia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi gani nifanye ili niweke password kwenye kazi yangu kwenye pc
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Laptop nikiwasha hayo ndio majibu yake. ni nini tatizo na ni nini ufumbuzi wake? Realtek PCIe GBE Family Controller Series v2.59 (01/13/14) PXE-E61: Media test failure, check cable PXE-M0F...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina simu yangu Nokia ya tochi model 105 nikiweka laini za mtandao mingine hazitaki kusoma isipokuwa laini ya vodacom peke ndo inakubali, tatizo linaweza kuwa ni nini?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada, Whatsap kwenye simu yangu imegoma inasema nahitaji ku renew au kudownload upya lakini kila nikidownload inasema error.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu wakuu katika kufanikisha hili.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, kila nikijaribu kumpigia mtu wananiambi ninunue credit kwa euro 10 ambayo ni sawa na elfu 32,000 hivi kwa mwezi. Mwenye kujua hili naomba ufafanuzi mbona naona hi hela ni kubwa sana? Au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau. Nina simu ya X-BOX nili install whatsapp lakini juzi imekataa kufanya kazi iikataka ni update. Kila nikijaribu inasema error, device has insuffient memory. Nime uninstal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naweka win 7 / tatizo ikishamaliza kila kitu naletewa 'windows set up could not configure windows to run on this computer, nini tatizo~?
0 Reactions
3 Replies
971 Views
HABARI WAKUU..... BAADA YA KUJIFUNZA MTANDAONI IKIWEMO KUPITIA JAMIIFORUMS NIMEONA NAWEZA KUFANYA KITU KATIKA HII TAALUMA YA WEBSITE/BLOG.LENGO LA KUJA KATIKA JUKWAA HILI NI ILI KUKUTANA NA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…