Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana...
Wakuu habari ya muda huu, poleni na majukumu
Nina changamoto yangu moja naomba msaada, nina taa yangu moja ni Watts 5 Dc nataka ikae inawaka kwa masaa 12 na kuchaji simu pia.
Hivyo nilikuwa...
"Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya...
Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra.
Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh...
Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha...
Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza
Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku
Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya...
Tupitie pamoja flagship soundbars.
1. Nakamichi Dragon 11.4.6 :
Description:Hii soundbar ina channels 21 katika configuration ya 11.4.6. Pia ni soundbar ya kwanza kusapoti DTS:X Pro ambayo ni...
Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp...
Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa.
Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na...
China's Robots Are No Longer Just Working, They're Performing on Stage Like Pro Dancers
This wasn't a sci-fi movie. It was a live concert.
At Leehom Wang's Chengdu show, 6 Unitree robots...
Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account
Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho...
Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.”
Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa...
Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana.
Unaweza kufanya hivyo...
NATAFUTA TEAM (PART-TIME) – YOUTUBE CHANNEL
Natafuta vijana wenye ujuzi wa:
🎨 Graphic Design
🎞️ Video Editing
✍️ Script Writing
🎙️ Narration
Kwa ajili ya YouTube Channel
Interested?
Tuma:
Jina...
Wakuu, natumaini hamjambo.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, nina hiyo router ya CPE 5s; ila tatizo inatumia tu laini moja.
Je, kuna mtu anaweza unlock ili iweze kusoma laini tofauti?
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa...
Ni hivi wakuu ninataka kununua kakifaa fulani kakuscania magari. Japo hakasomi kwenye gari za Asia chini ya mwaka 2008. Hivyo ninahitaji kujua gari nyingi hapa Bongo ni za miaka gani.
Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha...