VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Wakuu nimeona tuanzishe Mada ili tuone ni kiasi gani kinahitajika ili kuanza kutumia umeme wa solar:-
Equipments
Bei za Equipments:-
Sijajua kwa Bongo panels ni shilingi ngapi lakini china on average ni between 1.2 mpaka 2usd kwa kila watt moja.. lakini hapo baada ya usafiri bei itaongezeka maradufu
Kwahiyo wadau kwa anayejua bei za hivi vifaa bongo naomba tuelezane itagharimu tshs ngapi kwa kutengeneza 2kw system:-
Equipments
- solar panels
- changing controller (kuhakikisha battery haiwi overcharged)
- battery
- inverter (kubadilisha dc to ac)
- Angalia bili zako zilizopita ili uweze kujua ni KWH ngapi unatumia kwa mwezi (average); alafu gawa kwa 30 ili ujue kila siku unatumia KWH ngapi
- Kufahamu utahitaji panels ngapi inabidi ujue ni masaa mangapi panels zako zitakuwa zinapigwa na mwanga wa jua, hii inategeme kama utakapoziweka zitakuwa zinakingwa na miti au sehemu ulipo (average nyumba nyingi huwa zinapata 5hrs to 8.5hrs nyingine zinaweza kupata hata 3hrs a day)
- Kwahiyo kama system yako ina panels za 2kw na kama zinapata 5hrs direct sunlight basi systems yako itakuwa inatoa 10kw/hr kwa siku
Bei za Equipments:-
Sijajua kwa Bongo panels ni shilingi ngapi lakini china on average ni between 1.2 mpaka 2usd kwa kila watt moja.. lakini hapo baada ya usafiri bei itaongezeka maradufu
Kwahiyo wadau kwa anayejua bei za hivi vifaa bongo naomba tuelezane itagharimu tshs ngapi kwa kutengeneza 2kw system:-
- panels
- battery
- charging controller na inverter