Kubadirisha wi fi router ya lain 1 kuwa universal

Kubadirisha wi fi router ya lain 1 kuwa universal

Rwaz

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,279
Reaction score
4,108
Aman kwetu sote!
Kwanza tangu jf ifungiwe nimerud nyuma km 77 kwa taarfa na maarfa.
Mana sijawai kosa suluhisho tokea humu.
Sasa anayejua mtaalam mtakatifu wa kubadiri pocket wi fi inayosoma yas tu kupokea laini zote anielekeze kwa dar.
(Kwa mara ya kwanza acha nia njema iishinde sheria)
 
Model ya router Yako? Mfano ni ZTE MF112
Router zipo nyingi na Kila Moja Ina njia yake
 
Attachments

  • 20260529_150142.jpg
    20260529_150142.jpg
    169.3 KB · Views: 13
Back
Top Bottom