Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Shalom na Ramadhan Kareem waungwana. nina maswali mawili kuhusu betri ya laptop, ninawaombeni msaada/ushauri; 1. nina laptop model ya zamani toshiba equium ambayo baada ya kuitumia kwa muda mrefu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, nina page yangu fb, ninataka niipromote iwe na Like nyingi kwa kutumia fb sponsored Ad. Nina pata shida jinsi ya kulipia. Nina akaunti crdb je hiyo inaweza tumika kulipia? Asante kwa msaada
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bluetooth 5: everything you need to know By David Nield a month ago Networking Faster, stronger, better The group in charge of Bluetooth development has announced that the 5...
1 Reactions
0 Replies
791 Views
.
3 Reactions
26 Replies
4K Views
"More than 10 millions android devices have been infected by Chinese malware" so according to many reports "avoid click on popups" because can lead to breach of your online banks A/c. #This news...
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Habar za jion wakuu, nimekuwa nikipata tabu sana katika kucheza video na audio nnazo tumiwa kupitia WhatsApp,hii inatokana na simu nnayo tumia, Iphone. Je hakuna application nayo weza ku Install...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Msaada wakuu simu yangu ya Halotel H8501 imefuta program zote mfano camera na program nyinginezo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada nina tablet tajwa hapo juu huwa wakati mwinyine inanizuia kufanya chochoye pale inapoanza kufungua fungua na kufunika funika mafile, na hata hunikatia simu wakati naongea bila mimi...
0 Reactions
5 Replies
887 Views
Heri wakuu. Aise, naomba mtu mwenye application ya kutengeneza Passport size anijuze. Kupitia Photoshop huwa mlolongo mlefu, na software nazoziona mtandaoni ni trial tu. Kama kuna mtu aajuae...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
  • Closed
Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Habari za kufurahisha na kusisimua katika ulimwengu wa teknolojia ni kuwa sasa hakuna haja tena ya kutumia WhatsApp wala Telegram kwani sasa tuna App yetu tuliyoipa jina la POA APP. Hii ni zaidi...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
naomba msaada wa application ya android ambayo naweza kuinstall na kutumia whatsapp messenger katika pc ya window 7 mbali na bluestacks.msaada wakuu anaefahamu pleaz
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Naomba msaada simu yangu ni sumsung galaxy note 2 toka jana imeandika emergency call only ila internet inafanya kazi kama kawaida kwa line ya tigo pekee,, line nyingne zote zinafanya kazi ispokua...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Msaada jamani naitaji update Rom ya Marshmallow Samsung Galaxy A5 5000 naombeni link.
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Kama unatumia tecno c8 na bado hujafanya update ya android 6.0 (Marshmallow) with HiOS ingia kwenye link hii na ufuata maelekezo. Yapo kwa kiswahili ukikwama uliza utajibiwa. [OFFICIAL VERSION]...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari nilikuwa nahitaji kujua kama kuna application ya virtual dj inayofanya kazi kwenye smartphone
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu habari za muda. Nina betri kubwa ya gari. Aina ya EXIDE volt 12 ( N150).Swali langu ni je hii betri nikiifungia solar panel itaweza kudumu pasipo kupoteza ubora wale?. Je kwa hiki kioo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inawezekana Ku Update Tecno C8 kwenda Marshmallow na HiOS??
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…