Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama title inavosema wakuu Nataka kuwa developer mnaweza kunsaidia sehemu ya kuanzia Kama kuna website au group Fulani mnaweza kushare nami. Mungu awabariki๐Ÿ™
2 Reactions
4 Replies
517 Views
Habari wana JF, Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa? Na je koding ipo sana kwenye hii...
1 Reactions
5 Replies
850 Views
Megabits vs. Megabytes: Understanding Your Internet Speed Ever wondered why your gigabit internet doesn't download games at a thousand megabytes per second? The difference between megabits (Mb)...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Apple Iko karibu kuweza kutambulisha product yao mpya sokoni ambayo inaitwa wall- mounted display imeundwa kwa ajili ya kuweza ku control nyumba yako. Kifaa icho kimepewa jina la code name J490...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found! TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO? NAOMBA KUWASILISHA
0 Reactions
7 Replies
550 Views
Kampuni ya meta imetoa ripoti inayoonyesha Kuna akaunti za watumiaji wengi wa Facebook ambao ni marehemu wamekufa ila bado akaunti zipo na zinafanya Kazi. Ripoti iyo inaonyesha zaidi ya watu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi unajua unaweza kuongeza nafasi kwenye sd card (memory card) au flash drive kupitia kompyuta ๐Ÿ˜€!! Najua una shangaa relax ๐Ÿ˜ Kuna program Moja ukifanikiwa kuwa nayo inakupa Uwezo wa kuongeza...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Nchi ya Japan inakua taifa la kwanza duniani kuweza Kutuma satellite ya mbao inaitwa "Lighnosat" imeundwa na chuo cha Kyoto university wakishiliana na Sumitomo forestry, ISS kupitia roketi ya...
3 Reactions
5 Replies
599 Views
Nlikuwa natumia Google pixel 3, nikachukua iphone 14 pro max aloo , camera ya Google pixel bado ni balaa, Iphone camera yake inahitaji sana mwanga ili itoe picha nzuri ila google pixel ni hapo...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ณ๐—ฎ Kampuni ya infinix wakati tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 wao wameamua kutuletea toleo jipya la simu ya infinix Hot50i series' simu za bei poa zikiwa na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa? Na je koding ipo sana kwenye hii...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa Unaweza ukazani ni Tangazo...
2 Reactions
9 Replies
664 Views
Habari zenu wakuu, kama kichwa hapo juu naombeni link ambayo nitaweza kudownload hilo gemu likiwa moded.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
0 Reactions
4 Replies
520 Views
The Power of Privacy: Less is More in the Digital Age In an age where the average person shares over 1,500 pieces of personal data annually, have you considered the power of digital discretion...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania. Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana. Kama tulivyo na sports...
2 Reactions
9 Replies
465 Views
Nywila (Password) mara nyingi hulinganishwa na mswaki kwa sababu ya kufanana kwa jinsi inavyopaswa kushughulikiwa. Hapa kuna sababu: 1. Tumia Yako Mwenyewe Kama vile mswaki, nywila ni ya...
1 Reactions
7 Replies
784 Views
Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
0 Reactions
9 Replies
816 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ