Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina note 3 N9005, haipigi simu wala SMS(NO service), lakini Inawasha data vizuri tu, 4g tena na inafungua internet, nikituma IMEI yake kwa TCRA, model ya simu inakuja n900t wanasema simu yangu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Nakihitaji kitabu hiki kwa hali na mali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Salamu. Mimi nina blog, na nimeiwekea pages kama HABARI, MAKALA, SAIKOLOJIA, TIBA ASILIA n.k. Sasa kila nikijaribu kuandika na kupost kwenye hizi page, niki-publish, post haiendi kule...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa walio na uzoefu wa kufanya manunuzi online kama Alibaba, Ebey na Amazon. Hasa Alibaba maana kuna kitu nataka kuagiza ila sijajua mchakato wake unakuwaje...
2 Reactions
1 Replies
796 Views
Wakuu habari zenu simu yangu ina tatizo kila ninapo Instal app ninapata "Google App has stopped" though installation inakamilika na hili tatizo la muda na kwa sasa nafikiri ndio linapelekea simu...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
Habarini. ni app gani ya kublock namba ya mtu SMS na calls zake zisinipate kwa android yangu. msaada Tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari wana JF...simu yangu ni smartphone techno ....niliihukua. dukan miez 6 iliyopita lakiini sasa hivi imeanza tatizo la kupoteza...network yan inasoma mtandao kwa shida wakati mwingine nipo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada kwa mwenye link ya ku download game la PES 2017 kwenye PC
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Natafuta google adsence account ambayo ishapokea barua na pia ishatoa hela kwa mwenye nayo anipigie namba hizi hapa===0766697348
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Habari za kazi wakuu, nilikua naomba kujua jinsi ya kurudisha account ya intagram iliyokuwa hacked kama inawezekana
0 Reactions
3 Replies
683 Views
Naomba kuelekezwa namna ya ku UNLOCK VODAFONE V 75 Mtoto alichezea ikafungwa, ikawa inahitaji e mail, lakini nimejaribu kuingiza password imegoma, kuna ujumbe kwamba nakosea japo nikifungua kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Zenu Wakuu? Wapi Ninaweza Pata External Tv Card Nzuri Kwa Tz Hii, Na Bei Zake Zikoje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TitanicHost Tanzania Agent. Sasa host website yako BURE kwa miezi 3 ya kwanza,Huduma zetu nizakiwango cha juu 99% UP TIME. Usporidhika na huduma hutatozwa chochote. Web Hosting Tanzania - Shared...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima; 1. Nembo ya Tecno simu inapowaka na kuzima 2. Kubadili rangi ya notification bar...
3 Reactions
118 Replies
29K Views
Wakuu naomba msaada toka kwenu wataalamu ili nipate maujanja ya kushinda bahati nasibu hii mfano namba za ushindi kwa draw ya kwanza zimetokea 36 32 38 30 69. Draw ya Pili namba za ushindi...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Niaje hum wana jf naomben msaada laptop yang inaniambia ni activate windows lkn kila nikitaka ku activate inataka nitie codes naomben msaada
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Habari zenu waungwana. Naomba muongozo jinsi ya ku connect mobile phone(nokia 208) as modem kwenye pc. Driver zipo ila imenishinda ku connect. Nawasilisha[emoji120]
1 Reactions
1 Replies
488 Views
Simu yangu nimeitumia kwa miaka mi3 sasa TECHNO H5, Juzi nimeiwasha ila nataka ku-slide nitoe lock ikawa inaonesha waves tu lakin ukigusa screen no response, button za pemben yaani ya kuwasha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi natafuta wapenzi Wa kucheza scrabble online,ni moja ya michezo mizuri ya kuchangamsha akili.Nimechoka kucheza na wazungu ningependelea kupata washindani wenzangu waafrika.Najua...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Ndugu wana jf cm pc yangu aina ya TOSHIBA haiconect data za cm kwenye usb tatizo ni nn msaada tafadhari
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…