Wakuu Mimi ndo nilikua mbishi kuitetea hii Halotel sasa yamenishinda nimeshindwa kuangalia mpira kwa hii speed ya 12kb/s, 19kb/s ,28kb/s hand up!!! Aisee naombeni mbadala.
Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda...
Habari zenu wakuu naomba ushauri kwa yeyote anayoijua au alishawahi kutumia photocopy machine iitwayo xerox P255,Upatikanaji wa vipuri vyake,wino na bei ya vipuri.Je inafaa kwa matumizi ya kuchapa...
Wadau, Habari za mida hii, ningependa kuwatangazia kuwa Ile offer ya website na System designing bado inaendelea. Tunadesign vifuatavyo. 1)Website 2)System za shule na vyuo
3)Forums 4)Datting...
Habari wakuu
Naomba mnisaidie site ambayo nitaweza kudownload vet books mf.
natafuta kitabu kinachoitwa veterinary parasitology by MA.Taylor,RL.Cool,RL.Wall
kwani nimejitahidi binafsi kutafuta...
Habari ndugu zangu,
Natumia Itel 1452, whatapp kwenye simu yangu haitumi message ila napokea tu both toka kwa group na individuals ila mimi siwezi tuma kokote.
Nimerboot simu, nime uninstall na...
Kwa Majibu wa account yao ya instagram leo, kampuni ya simu ya Ttcl imekuwa kati ya makampuni machache Africa kuzindua hii 4.5G au LTE-Advanced Pro, Mlimani City leo. Yenye theoretical 1Gbps...
Nilikuwa najaribu kuangalia bei za data kwa mitandao tajwa hapo juu, nilichogundua ni voda na tigo bei zao zafanana kana kwamba walipeana copy za bei mpya baada ya kupanga. nitaweka picha za bei...