Tigo 4G ni hatari sana, Halotel jipangeni tena

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,182
1,278
Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi. 1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa

upload_2016-4-30_7-26-17.png
 
Mkuu hauko Tanzania? Hapa nipo Ilala nakamua kwa speed hadi najiogopa. TTCL 4G LTE ni hatari
Nipo mkuu.. Last time nilisikia wataanza demo maeneo ya osterbay Posta na Mikocheni.... Kumbe washawasha maeneo kibao... Sasa sijui tabata wamefika?? Itabidi twende huduma kwa wateja kupata coverage yao...
 
Tabata bado niliwauliza wakaniambia wana mpango wa kuja huko wanakamilisha miundo mbinu kwanza ila ndani ya miezi 2 hivi.baadhi ya maeneo tayari wameshaanza kufanya kazi kwa 3G na 4G.
 
Kwa taarifa rasmi hakuna mtandao wenye kutransmit sauti vizuri kama TTCL, tgo na halo bado wanajaribu but them , wanafanya kazi kwa thamani ya fedha yako!!!
 
Hili la Tigo, sikubaliani yaani mpaka uwe maeneo ya mjini! Wakati halotel mpaka vichakani….

TIGO hata Kariakoo mawasiliano Ni tatizo kabisa sembuse 3G na ukiwaambia hawajali Wao wanapiga hela tu!
 
Kwa taarifa rasmi hakuna mtandao wenye kutransmit sauti vizuri kama TTCL, tgo na halo bado wanajaribu but them , wanafanya kazi kwa thamani ya fedha yako!!!

Tigo ninayoitumia mm au? Kila siku nikipiga sim lazima nikate nipige teba, yan scrach kibao.

Halotel ni habar nyingine, na ela zangu watakula sanaa tu.
Tigo nitawakimbia soon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom