Iam planning to visit TZ, Dar Es Salaam to be precise, this December. I just wanted to know prices of different Android Decoders over there. Kama kuna yeyote anayejua kindly help.
Wadau ninaomba kuuliza nikiroot Simu yangy je!ninaweza kuhamisha app ambazo kabla ya hapo zilikua hazihamishiki kwenda kwenye memory card na je! hakuna madhara yoyote!
wakuu nimepewa cartridge iliyoisha wino na mtu,nimejaza tayari lakini nikiweka kwenye printer inaniandikia kuwa imefungiwa,inatumika na printer ile ilipokuwa tu. Naomba msaada namna ya ku - unlock...
Anae jua junsi ya kutatua tatizo la samsung kutosoma mtandao yani uki search network ukitaka kuconnect inagoma na inakuambia not registering on network/unable to connect, ukiwasha data inasoma...
Mtu yeyote ana idea ya hacker(s) kwa jina la Mister Spy && Souheyel?
nimejikuta nimefuta website nzima (wordpress based) baada ya kugundua iko hacked na hacker huyo.
Search ya google inaleta tu...
Nahtaji Ku upgrade simu yangu kitoka android 5.0 lollipop kwenda 5.1 lakn system update inasema is the latest vision, naweza kutumia njia gani nyingine?
natafuta mdau ambaye ana dollars kwenye PayPal yake tufanye biashara maana nimechoshwa ni CRDB. sijaweka post kwenye matangazo maana watumiaji wengi wa PayPal wapo humu ndani
wadau,
wiki ka tatu zilizopita nilikua najiunga vifurush vya wasap vya tigo na kufanikiwa kutumia kifurushi hicho kweny kusurf internet na kufungua page mbalimbali na hata kudownload. Nilikua...
Wakuu nimatumaini yangu kuwa mkowazima wa afya njema. Mimi natumia huawei y530 ambayo nimeiroot kwakutumia kingroot na nimedowload hifont ila kila nikichagua font niipendayo inakataa kureboot ili...
habar wanajamvi.mimi ni mgeni kwenye electronic devices,nahitaji kuplay video through u tube ila imenigomea naomben msaada wa app itakayonisaidia tafadhali pia na ya download kwenye u tube...