Msaada wa id na photo entry za wanafunzi

Msaada wa id na photo entry za wanafunzi

Mkazamoyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,638
Reaction score
2,817
Wadau naomben msaada wa programme nzuri kwa ajili ya utengenezaji wa Student ID pamoja na "photo entry" kwa ajili ya usajili wa Necta. Najua kwa hapa jf ni kisima cha maarifa.
 
student id unatengeneza hata kwa publisher tu.... photo entry unapiga kwa digital then unapunguza resolution isizid 4kb
 
Back
Top Bottom