Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

  • Redirect
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Pascal Wawa 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude 7. Clatous Chama 8. Muzamiru Yasin 9. Chris Mugalu 10. Larry Bwalya 11. Louis Miquissone...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Swali linajieleza hapo juu Kwa tulio mbali na Azam Nani mwingine anaonesha mechi ya Simba na Vita leo!
0 Reactions
Replies
Views
Bila kupepesa macho wala kung’ata maneno Mlindalango wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya Simba Aishi Manula ndiye golikipa namba moja kwa hivi sasa nchini. Na hili...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Redirect
Leo niota ndoto mbaya Sana chama la wanasimbazi limefungwa bao 1-2 ilininyima usingizi wangu kbs hadi asbh na kuomba iishie kuwa ndoto. Nilijifariji pale nilipokumbuka kuwa si mara zote au nyingi...
0 Reactions
Replies
Views
Evander alipigwa zile Iron fist nyingi sana ingawa na yeye alikua anatoa kombora zake. Ukiangalia video Evander kavimba uso Mzima. Ndio siku hiyo akadai amengatwa sikio. Tyson akaporwa taji...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Klabu ya El Merreikh ya Sudan inadaiwa kuwa inataka kumsajili golikipa wa Simba Aishi Manula ,25, kwa dola 100,000 (Tsh milioni 231) na mshahara wa dola 8000 (Tsh milioni 18.5) kwa mwezi."
8 Reactions
89 Replies
8K Views
Simba SC na AS Vita ya DRC Kesho 03.04.2021 saa 10 jioni Ifikapo kesho saa 10 jioni pale uwanja mkubwa wa soka Tanzania maarufu kwa Mkapa kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya...
0 Reactions
4 Replies
917 Views
Kwa taarifa za awali na zilizonifikia ni kua mpaka sasa club ya Simba imeruhusiwa kuingiza mashabiki 10000 kwenye mchezo wa trh 3/4/2021 dhidi ya As Vita Club . Taarifa njema kwa simba ilocheza...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Itoshe kusema kwamba ndani ya misimu hii mitano huyu ndio golikipa bora kwa Tanzania. Kumlinganisha na golie wengine ni kumkosea heshima tu. Tusisubiri mpaka Rais Samia amtolee tamko. Hii kesi...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi.. Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misri jana na kutoka Sare Haya ni...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Lionel Messi katika private jet yake akielekea katika jiji la Manchester kusaini mkataba wa kuichezea Man City kuanzia msimu ujaoCity wamethibitisha kuwa watamtambulisha Muargentina kama mchezaji...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Matokeo ni kama yanavyo onekana hapo chini.
0 Reactions
4 Replies
747 Views
Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Yule beki kisiki wa Simba Joshua Onyango amekutwa na Covid na wenzake watatu" Al-Duhail striker Michael Olunga, Simba SC defender Joash Onyango, Zesco United goalkeeper Ian Otieno, and Sofapaka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati mashabiki wa Atletico Madrid wanapiga simu majumbani kwao kwa furaha kwamba wameishuhudia timu yao pendwa ikitwaa Ubingwa wa kwanza Ulaya, Wakati huo mashabiki wa Real Madrid wanamwaga...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo)...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
[emoji22][emoji22]
10 Reactions
117 Replies
9K Views
Back
Top Bottom