Wakuu,
Hongereni saaaana tumeshinda! Ila nina ushauri mdogo kwa viongozi wa Simba. Kiufundi Simba haichezi vizuri na imejaa makosa mengi sana kiulinzi na hata inaposhambulia.
Ushauri muhimu...
Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika.
Tukawaambia mkawakabe watu flani...
Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo...
Haya sasa serikali ichangamkie hiyo fursa ya kujitangaza kimataifa kupitia bongo zozo
USSR
===
Alichoandikiwa Bongozozo kutoka liverpool na ambacho amekiweka kwenye account yake ya Facebook...
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi...
Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni...
Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na...
Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu...
"Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia...
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga...
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa...
Salaam..
Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku...
Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki.
Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti...
Feisal ni mtoto na kama angepata wakubwa yeye na mama yake walitakiwa kukalipiwa.
Feisal kuishi na watu sio Zanzibar kama unavyosikia muungano na kumbuka wanaokuchochea sio watakao kusaidia...
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi.
Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba...
Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako?
Ulianza na wale wa Bernard Morrison.
Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa.
Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva...
Mkutano wa Waziri Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Waandishi wa Habari
Kumtambulisha Kocha Mpya wa Timu ya Taifa Stars
[emoji414] 07 Machi, 2023
[emoji792] 04:00 Asubuhi
Erik ten hag wakati anapewa mikoba kuinoa man utd aliwahi nukuliwa akisema
"Ninawaheshimu liverpool na manchester city lakini naweza kuona enzi zao zikiisha."
lakini timu zote hizo mbili ndizo...
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.
Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.