babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,069
- 15,926
Evander alipigwa zile Iron fist nyingi sana ingawa na yeye alikua anatoa kombora zake.
Ukiangalia video Evander kavimba uso Mzima. Ndio siku hiyo akadai amengatwa sikio. Tyson akaporwa taji. Kipindi hicho nafkiri Tyson alikua na msongo wa mawazo kuachwa na Robbin aliyeondoka na kila kitu alichokipigania jamaa.
Wanawake muwe na huruma kidogo. Mike Tyson leo ni mtu wa kujenga shamba la bangi kama mchicha wa pale Hai.
Projects nyingi anazo kivyake kwasasa, ila najua siku akisema ukweli hao huko wataungua