Hili la Comoro Kutoka Suluhu na Misri

Soka ukanda wa COSAFA na CECAFA linakua kwa kasi kubwa sana hasa kutokana na uimara wa ligi ya South Africa na Angola zinachukua wachezaji wengi sana wa nchi hizo pamoja na Tanzania tukiwemo.
Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misti jana na kutoka Sare
Haya ni maajabu,Nini siri ya hawa wangazija?
 
Wa Comoros wana faidika na uwepo wa Ufaransa Kule visiwani, na wachezaji wengine wanatokea ufaransa kuja kuisaidia nchi yao. Wafaransa wengine wapo pale Visiwani wakiendesha mafunzo ya soka kuanzia hatua za swali ata klabu zao za soka kwa sasa sio zile tulizokua tunajipigia goli 7kwa mechi moja katika mashindano ya vilabu barani Afrika.
Muda si mrefu wanakwenda kutuacha katika soka.
 
Soka ukanda wa COSAFA na CECAFA linakua kwa kasi kubwa sana hasa kutokana na uimara wa ligi ya South Africa na Angola zinachukua wachezaji wengi sana wa nchi hizo pamoja na Tanzania tukiwemo.
Angola yenyewe mbona tia maji tia maji.. mchezaji gani wa Taifa stars anacheza ligi ya Angola. Mimi nimegundua kuna uhusiano wa uchumi na michezo, nchi za maeneo uliyo taja zimepiga hatua sana kiuchumi miaka ya karibuni.
 
Back
Top Bottom