Habaripoint.com tumetengeneza mfumo unaoitwa
Secondary School Academic Information Managemement System(SSAIMS)
Unadownload free:
Mfumo huu kazi yake kuu ni kuandaa ripoti za matokeo ya wanafunzi...
THE POSITIONS
All the positions are based in Iringa, Tanzania
FDT will pay a competitive salary based on skills and experience
An initial 2-year contract will be offered, renewable depending on...
Habari wanaJF, Mimi ni mtumishi wa umma ninatafuta mtu wakubadilishana naye kituo cha kazi, kada ya utunzaji kumbukumbu 'Record management assistant II' wakutoka mikoa kati ya Dodoma, Morogoro au...
Ninapenda sana kuandika, na ni professionally schooled on it. Mimi ni graduate wa BA English Linguistics. Ningependa kupata kazi kama contributor wa magazine, online source/website au newspaper...
Hi!
Anahitajika kijana mmoja haraka, aliemaliza form six, anaeishi hapa dar, kwa kazi ya sales agent wa IT software na hardware za kampuni yetu kwa makampuni mengine.
Atapewa nauli kila wiki na...
Imekua sasa ni desturi kwa kila kijana kufikiria kuajiriwa katika serikali au makampuni binafsi.
Nadhani ifike mahali wakae chini wachange mawazo na kujiajiri binafsi yaani self employment, kwa...
USAILI WA MCHUJO UTAFANYIKA SIKU YA ALHAMISI 12/05/2016 NA IJUMAA TAREHE 13/05/2016. NAFASI ZITAKAZOFANYA USAILI WA MCHUJO NI KAMA IFUATAVYO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania...
Habari za kazi,
Wanahitajika wataalamu wa maabara kwa ajili ya maabara mpya binafsi inayotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni mkoani Mbeya.
Nafasi
1. Health Laboratory Technologist (Nafasi 1 -...
Habari zenu wana JF
Nahitaji kijana wa kiume wa kukaanga chips na kuchoma nyama.
Vigezo:
1. Awe anajua kupika chips vizuri
2. Awe anaweza kuchoma aina mbalimbali za nyama
3. Mchangamfu na mwenye...
Kwa ajili ya kusimamia duka kubwa la dawa; pia anatakiwa fundi dawa (pharm tech) na disdensing staff wengine. Wenye sifa tafadhali wanipm na wawe tayari kufanya kazi Dar au Bagamoyo
Sasa huku ni kupotezeana muda,unawezaje kuita watu 700 na ushee kwa nafasi moja ya kazi....This is too much utumishi...Siwezi kuudhuria hata kwa marungu
Applicants currently employed in the Public Service should channel their application letters through their respective employers. Non-disclosure of such status will lead to automatic...
Habari zenu wana JF?
Nina mdogo wangu ana cheti cha ualimu wa chekechea anatafuta kazi yupo mkoa wa dar kwa yeyote anayeweza kumsaidia kupata kazi tutashukuru.
Habari zenu wanajamvi?
Natumai, mu wazima na mmeianza wekend vyema, niende moja kwa moja kwenye mada, baada ya kutoa raramiko langu, na kuungw mkono, na watu wengi liliro husu mfumo mbovu na...
Anahitajika kijana wa kazi za shambani. Awe ni kijana mchapakazi na awe wa kiume umri usiozidi miaka 20. Na awe ni mkazi wa mikoa ya Arusha ama Kilimanjaro.
Kama una ndugu yako au mdogo wako ama...
Job Description
A European based food processing company with a branch in Tanzania is looking for very well experienced machine operators with good problem-solving skills. The place of work will...
Aisee wakuu vip kuna m baby mmoja amekuwa akitafuta sana kazi. Ila kwa kweli elimu yake std 7 sasa aliponifuta leo mi nikamuambia hapo labda niangalie utaratibu wa kampuni za usafi hizi huku...
Kwa wakazi wa Mwanza,Mimi ni binti wa miaka 24.....Naomba kwa yeyote anaejua wapi naweza pata kibarua japo kwa siku iwe kiwandani au sehemu yoyote ile anijulishe,sibagui Kazi!Natanguliza shukrani