Habaripoint.com tumetengeneza mfumo unaoitwa
Secondary School Academic Information Managemement System(SSAIMS)
Unadownload free:
Mfumo huu kazi yake kuu ni kuandaa ripoti za matokeo ya wanafunzi. Mfumo unatafuta wastani ,divisheni na kuwapanga wa kwanza hadi wa mwisho .Mfumo unaandaa ripoti katika PDF ambapo mwalimu ataisave na kuiprint na kuwagawia wanafunzi wapeleke kwa wazazi wao.
Mfumo unasaidia mambo yafuatayo:
1.Badala ya mwalimu kujumlisha marks za masomo yote manually na kutafuta wastani,na kuwapanga wa kwanza hadi wa mwisho na kuandika kwenye fomu ya matokeo.Mfumo huu unakufanyia hii kazi automatic,kikubwa ni kuingiza marks za wanafunzi ndani ya mfumo.Mfumo unafanya calculation na kuanda hizo ripoti.Mtihani hautafuti wastani tu, unatafuta na divisheni pia aliyopata katika masomo aliyofanya.
2.Mfumo unatunza kumbukumbuku ya marks ulizoziingiza katika database.
3.Mfumo unaongeza ufanisi.Unaweza kuandaa matokeo ya wanafunzi zaidi ya 500 kwa saa moja.Kikubwa ni walimu wa masomo ni kuingiza matokeo yao ndani ya mfumo.
4.Unagrade marks kulingana na grade za NECTA.
Malipo:
Unautumia bure hadi mwezi wa kumi 2016.Baada ya hapo shule inakuwa inalipia Tsh 50,000/= kila baada ya miezi sita.
Mahitaji:
Shule iwe na computer- Sababu huu mfumo unaudownload kupitia Habaripoint.com na kuinstall ndani ya computer yako.Kwenye kuinstall ni kama window setup nyingine,una click next ,next hadi mwisho,ni rahisi.
Jinsi ya kuutumia:
Maelezo jinsi ya kuutumia yameambatanishwa ndani ya huo mfumo.Mfumo ni user friendly.Unaweza kuutumia hata pasipo kusoma user manual through help link.
Download:
Fuata hii link hapa chini kudownload huu mfumo,
Habaripoint.com