Spokesperson
Member
- Sep 21, 2015
- 19
- 7
Ninapenda sana kuandika, na ni professionally schooled on it. Mimi ni graduate wa BA English Linguistics. Ningependa kupata kazi kama contributor wa magazine, online source/website au newspaper yoyote kwa muda wangu wa ziada as I am working now. Kuhusu muda, I am an excellent time manager who meets tight deadlines.
Nipo tayari kukufanyia kazi moja ya awali bure (bila malipo) na tutaongea kuhusu malipo baada ya wewe kuridhishwa na kazi husika.
Nimeambatanisha hapa mfano wa kazi yangu moja, nyingi zipo hapa na nyingine bado ni manuscripts.
Pamoja na hayo, mimi ni photographer mzuri, videographer na graphic designer pia. Tafadhali tuwasiliane ili kuiona portfolio yangu. Nawakaribisha!