Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,639
- 29,512
Imekua sasa ni desturi kwa kila kijana kufikiria kuajiriwa katika serikali au makampuni binafsi.
Nadhani ifike mahali wakae chini wachange mawazo na kujiajiri binafsi yaani self employment, kwa mfano unaeza ukawa na idea ya software flan lakini kuiendeleza ukakwama basi ukikutana na mwenzio mkakaa pamoja mnatusua, au unaeza ukawa na idea nzuri ya kilimo lakini huna pembejeo ukakutana na mtu mkaunganisha mawazo yenu mkatusua.
Nilikua najiuliza hivi viwanda vidogo vidogo china kwanini tusiongee nao wakaja kuwekeza huku kwetu hata simiyu? Kuliko kuingia internet kusaka wachumba why usijaribu kusaka business partner worldwide.
Ni idea tu wakuu karibuni