Kijana form six mwenye uchungu wa maisha anahitajika haraka kwa sales job | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana form six mwenye uchungu wa maisha anahitajika haraka kwa sales job

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Marketer, May 10, 2012.

 1. M

  Marketer JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hi!

  Anahitajika kijana mmoja haraka, aliemaliza form six, anaeishi hapa dar, kwa kazi ya sales agent wa IT software na hardware za kampuni yetu kwa makampuni mengine.

  Atapewa nauli kila wiki na akiuza atapata commision nzuri kuendana na alichouza.

  Hii nafasi sio lelemama wala masharobaro hawaiwezi, inatakiwa mtu mpambanaji na mwenye uchungu na pesa, inalipa kwa anaepiga mzigo ukiwa unalala pesa inalala. Kwa wale mnaokaa bure mnalia hatuna mtaji? ndo opportunity hilo

  Kama uko tayari na kazi na upo serious ni pm namba yako ya simu. akipatikana mmoja basi

  Shukrani wadau
   
 2. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ngoja nipite tu make mi 4m 4.
   
 3. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu asante kwa taarifa hiyo,
  Ina maana malipo yapo on commission basis na sio mshaara.
  Tafadhali naomba ufafanuzi wako
   
 4. M

  Marketer JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaaah! ni on commission plus nauli per week. kazi nyingi za sales watu huunza on commission then wanapata mkataba, mshahara na target ya kuuza kwa mwezi, usipo fika target chali. Sasa mdau hujawahi kuuza tukikupa target mara nyingi hutofika na watu wengi hawauzi kabisa sasa inakula kwetu,

  Wewe kama fighter huwezi kuigopa commision, sisi tunataka jembe hatutaki mtu legevulegevu, sasa mtu huwezi kumjua ndo maana inabidi aanze na commission then tukijiridhisha hili jembe tunalipa ulaji

  Kwa experience majembe huwa wanakataaga mkataba coz yeye anataka limit ya mshiko wake kwa mwezi Mungu tu aijue.

  Kama unasitasita unakiusharobaro cha kuona kuliko commission bora ukae home kula kulala usiombe coz utalizibia jembe nafasi ya kupambana.
   
 5. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mkuu me nipo Arusha
   
 6. M

  Marketer JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mdau ni wakazi wa jiji la daresalaaam tu, maybe tukifungua tawi arusha mwakani. lakini sasa ni jijini tu ndo wanhusika
   
 7. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hebu wacheni masihara hii kazi hata darasa la saba anafanya si lazima form 6, wapeni hiyo kazi wadogo zetu form 4 wapate pa kujishika, alafu mbona majungu mengi kweli kuna kazi hapo?
   
 8. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Software za nini hizo
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  majungu, vitisho kibao,..simuelewi pia
   
 10. b

  bebwa100 Member

  #10
  May 8, 2016
  Joined: Apr 13, 2016
  Messages: 16
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Mm form four nichek nipige kazi 0712202449
   
 11. stanleyRuta

  stanleyRuta JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2016
  Joined: Jul 19, 2014
  Messages: 558
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Nyie maskretari na madalali huwa mna vihelehele sana kwenye makampuni na biashara za watu.....
   
 12. l

  ladyfocus JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2016
  Joined: Jan 30, 2013
  Messages: 796
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 80
  yaani watu ni wa ajabu kweli, na wanataka mshahara maana hawana malengo ya kupiga kazi dat y wanasita. Kwa mtu mchapa kazi hawazi kukataa kazi ya sales ila kwa sharo ni ngumuuuu atawaza vipi ategee na mshahara wapate
   
 13. bushland

  bushland JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2016
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 5,963
  Likes Received: 3,846
  Trophy Points: 280
  Haaaa haaaaaa, umeua, jaman nimecheka kwi kwi kwi kwi
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2016
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,753
  Trophy Points: 280
  Kuna wajinga wanaita watu km hivi AFU unakuta ni Kazi ya kuuza mahotpot chapa za Chai ect
   
Loading...