Fridayborn
Member
- Nov 6, 2015
- 12
- 2
Habari wanaJF, Mimi ni mtumishi wa umma ninatafuta mtu wakubadilishana naye kituo cha kazi, kada ya utunzaji kumbukumbu 'Record management assistant II' wakutoka mikoa kati ya Dodoma, Morogoro au Pwani yeye aje Geita mjini. PM kwa mawasiliano zaidi.