sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Habari zenu wanajamvi?
Natumai, mu wazima na mmeianza wekend vyema, niende moja kwa moja kwenye mada, baada ya kutoa raramiko langu, na kuungw mkono, na watu wengi liliro husu mfumo mbovu na mbaya wa kutoa ajira pale katika Benki ya uuma, Benki inayoendeshwa na kodi za umma, yani POSTA BANK, na katika lalamiko langu nilisema kabsa kuwa lazima nitaendelea kuomba nafasi kwa kufata maelekezo wanayotaka wao, juzi niliomba nafasi moja, baada ya Email yangu kufika tu ndani ya dakika tatu, nilipokea email nyingine yenye kichwa cha habri EMAIL BOUNCES, na ndani ya email ile kurikuwa na ujumbe kuwa maombi yako yamepokelewa hasante kwa kuonesha nia ya kufanya kazi na benki ya posta.
nadhani hii ni email ambayo ni outomatic reply, niseme ukeli baada ya kufanya application 1000, juzi ilikuwa mara ya kwanza kujibiwa hivyo, hata kama hawajaniita ila walau nimejua kua maombi yangu yamefika.
Wito wangu kwa uongozi waBenki hiii, pamoja na Benki Nyingine znazo endeshwa kwa kodi za wananci kama NMB, benki Y wanawake na nyingine nyingi zibadilishe mfumo waajira, hacheni udungulization, hizo sio idara nyeti km usalama wa taifa na nchi hii kuwa kazi lazima mlizishane wenyewe kwa wenyewe.
Noamba kusema kuwa Jamii forum ni sehemu sahihi ambayo wananchi tunaweza kuonesha majipu na ikiwezekana sisi wenywe tuambiane ukweli haiwezekani nchi iendeshwe kama Genge la bi mkora bhana.
Naomba kuwakilisha wanajamvi hayo ndiyo yaliyojiri.niombe na wengine kma kuna aliyefayiwa hivi kwa mara ya kwanza!