Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
Aisee wakuu vip kuna m baby mmoja amekuwa akitafuta sana kazi. Ila kwa kweli elimu yake std 7 sasa aliponifuta leo mi nikamuambia hapo labda niangalie utaratibu wa kampuni za usafi hizi huku maofisini.
So ndo nimekuja kwenu hapa kama kuna mtu anahusika moja kwa moja huko embu naomba anisaidie ili tumsaidie huyu dada. Hata kwa mawasiliano itafaa sana ili nifanye nao contact niangalia kama naweza ku secure chance yoyote ya kumfaa.
Nawasilisha