Uzi wangu huu ni kwa wale vijana ambao tulipata nafasi ya kusoma hadi level kubwa kidogo. Hapa nazungumzia watu wenye certificate, diploma, bachelor, masters n.k. Kwa mtazamo wako na hali halisi...
Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer..
Naitwa NICKSON AIVAN,
Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na...
Jf Bosses!How are you...
I'm ok with any kind of job but mainly i can work in the following areas as;
-Construction helper
-Electrician
-Plumber helper
-Delivery helper
-Loading and offloading of...
Habari zetu,
Mimi nimekuwa nikiomba kazi zinazotangazwa na Mohammed Enterprises Tanzania Limited - MeTL ila nimekuwa sipati majibu ya kuitwa, ila nikituma sehemu nyingine naitwa.
Unahisi...
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about providing students with quality education? Are you dedicated to making a difference in your teaching...
Habari wakuu,
Natafuta tenda ya Sales kwa malipo ya commission(yaani kadri ninavyouza) hii na baada ya kuanzisha kampuni ya masoko, Nina uzoefu na hii kazi miaka mitano nikiuza computer mikoani...
Habari wana jukwaa,
Kuna dogo ni graduate wa electrical Engineering anatafuta fursa ya ajira.
Amehitimu chuo cha St Joseph- Kibamba 2018.
Kwa sasa yupo Registered na ERB.
Nawasilisha.
Habari wadau habari za pilika naomba kama kuna mtu Ana Connection katika moja Ya sehemu hizo mbili tuwasiliane nina jambo nataka tushirikiane ili nimshirikishea shukrani
Habari?
Natumaini mu wazima wa afya, kwa wasio vizuri kiafya poleni sana. Jamani kwa upande wangu nimetafuta sana kazi bila mafanikio mpaka nahisi kukata tamaa.
Nafikiria kujiajiri lakini mtaji...
Computer Aided Design Designer
Estim Construction Co. Ltd. Company Location Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania
We are looking for a qualified Civil Engineer/Software Engineer...
The IOGT-NTO Movement East Africa Office (EAO) is currently looking for a new Finance Assistant/Communications Officer for our office in East Africa. The position is based in Dar es Salaam...
Johns Hopkins University
Center for Communication Programs (TZ) Limited
Dar Es Salaam, Tanzania
Working Title: Finance Manager
General Description:
Seeking candidates for the position of...
POST: ICT OFFICER GRADE II (RESEARCH AND INNOVATION) – 2 POST
POST CATEGORY(S): IT AND TELECOMS
EMPLOYER: e-Government Authority (eGa)
APPLICATION TIMELINE: 2020-08-19 2020-09-01
JOB SUMMARY: N/A...
Waungwana nimeruhusiwa na HR wa IRC ku share Positions hizi kwa wale wanataka kufanya nao kazi DR Congo kwenye Emergency ya Ebola.
Angalizo: Hakuna Malipo na wala usini PM apply online , pia...
Wakuu mambo vp,
Mm Ni videographer, photographer na graphics designer.
Natafuta tenda za kushoot videos za harusi.. kitchen party..na sherehe aina zote.
Pia na shoot music videos.
Napiga PICHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.