Natafuta tenda ya sales kwa malipo ya commission

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Habari wakuu,

Natafuta tenda ya Sales kwa malipo ya commission(yaani kadri ninavyouza) hii na baada ya kuanzisha kampuni ya masoko, Nina uzoefu na hii kazi miaka mitano nikiuza computer mikoani na nchi jirani, Sasa na ni muda muafakawa kuongeza bidhaa nyingine ambapo malipo yetu baada ya mteja kupatikana.

Natumia mikakati ya kisasa inayotamba katika ulimwengu wa masoko ikiwemo Autoresponder emails marketing na WIFI( Whatsapp,Instagram and Facebook Intergration). Tuwasiliane ili tujadiliane terms za makubaliano yetu.

Ofisi tupo Mbezi mwisho, Dar Es salaam , tunaweza fanya kazi na biashara ikiwa mahali popote.

Mawasiliano yangu ni 0713039875

Kwa kuwa hapa hawaruhusu kuweka link, tuwasiliane kwa hii namba niwape kazi zangu.

Ndimi mwenye kuwatakia ukuaji wa biashara zenu, Zaganza


Screen Shot 2020-02-24 at 3.38.01 AM.png
 
Unaweza kusaidia kupata tenda kubwa mf.hotel,Viwandani,mashuleni kusupply bidhaa za chakula
 
Back
Top Bottom