Vijana tusio na ajira japo tumesoma, kura zetu tumpe nani?

Mngurimi

JF-Expert Member
May 27, 2020
814
1,000
Uzi wangu huu ni kwa wale vijana ambao tulipata nafasi ya kusoma hadi level kubwa kidogo. Hapa nazungumzia watu wenye certificate, diploma, bachelor, masters n.k. Kwa mtazamo wako na hali halisi ya maisha hapo ulipo unadhani ni kiongozi gani anaweza kukukufaa na kubadilisha maisha yako?

Mimi ni kijana mpambanaji tena nirudie kusema kuwa mimi ni "Mpambanaji". Maana ya upambanaji ni hali ya kujitoa kufanya kazi yoyote ile regardless ni ya taaluma yako au nje ya taaluma yako. Pamoja na kusoma kidogo hadi nikapata degree ni kwa sababu ya juhudi za wazazi wangu na kidogo juhudi za serikali.

Kwa sasa nipo mtaani bila ajira, nafanya kazi za uvuvi na kusaidia mafundi ujenzi. Serikali haikusema kuwa ukisomeshwa lazima uajiriwe. Watumishi wa serikali wanasema tujiajiri. Mama yangu kama mlezi wangu mkuu aliwahi kuuza ng'ombe wawili kwa thamani ya laki 3 ili nisome. Kibaya zaidi "Mama yangu aliyenipambania hajawahi kula matunda yangu tofauti na pesa kidogo ya boom niliyokuwa nikimtumia sometimes". Moyo wa ujasiri unahitajika katika kufanya maamuzi kwa polling box hiyo Oktoba 28.

Pamoja na juhudi zote nifanyazo katika maisha kitu nilichofanikiwa kumiliki ni uwanja/kiwanja cha kujenga ambacho nacho nilikipata kwa mbinde hadi leo sina hakimiliki yake japo ni kiwanja changu.

Kura yetu tunampa nani?
 
The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,262
2,000
Fuatilieni sera ya kila chama- mfanyie critical analysis na angalieni kama zinatekelezeka! Halafu mfanye maamuzi

Unaweza kuwa na sera nzuri angalia pia mtu aliyepitishwa na chama kama anaweza kusimamia sera hizo vizuri

Usijekujida umejenga shule, madarasa, vituo vya afya huku hujiari waalimu wala madaktari wa kutosha wala huweki bajeti ya kutosha kununua dawa na vitu vingine- Bila shaka hauna tofauti na mtu aliyejenga maghala ya mazao yake
 
Ahsante sana kwa maoni yako mkuu
 
miwani ya maisha

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
1,733
2,000
2020 VIJANA TUSIOKUWA NA AJIRA KURA ZETU ZOOOOOOOTE KWA MH.SANA TINDU LISSU WA CDM....HAWA WENGINE WANAZINGUA TU....SWALA LA KUNUNUA NDEGE HATA HAYATI BABA WA TAIFA ALINUNUA NDEGE AWAMU YA KWANZA NA NDIYE MWANZILISHI WA HIYO ATCL ...SO AGENDA ZA KUNUNUA NDEGE AMBAZO HAZILIINGIZII TAIFA KIPATO NI NONSENSE AND ABSOLUTE KWA KAMPENI ZA MWAKA HUU!
 
Mwanambugulu

JF-Expert Member
May 26, 2017
584
1,000
2020 VIJANA TUSIOKUWA NA AJIRA KURA ZETU ZOOOOOOOTE KWA MH.SANA TINDU LISSU WA CDM....HAWA WENGINE WANAZINGUA TU....SWAL KUNUNUA NDEGE HATA HAYATI BABA WA TAIFA ALINUNUA NDEGE AWAMU YA KWANZA ...SO AGENDA ZA KUNUNUA NDEGE AMBAZO HAZILIINGIZII TAIFA KIPATO NI NONSENSE AND ABSOLUTE KW AKAMPENI ZA MWAKA HUU!
Mkuu act wameahidi ajira Millioni 10
 
Mngurimi

JF-Expert Member
May 27, 2020
814
1,000
2020 VIJANA TUSIOKUWA NA AJIRA KURA ZETU ZOOOOOOOTE KWA MH.SANA TINDU LISSU WA CDM....HAWA WENGINE WANAZINGUA TU....SWAL KUNUNUA NDEGE HATA HAYATI BABA WA TAIFA ALINUNUA NDEGE AWAMU YA KWANZA ...SO AGENDA ZA KUNUNUA NDEGE AMBAZO HAZILIINGIZII TAIFA KIPATO NI NONSENSE AND ABSOLUTE KW AKAMPENI ZA MWAKA HUU!

Nashukuru kwa maoni yako but ni kweli kuwa ndege haziwanufaishi Watanzania wote? Kama ndege hazina manufaa so ni kwanini mkuu wa nchi yetu azinunue?
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,324
2,000
Uzi wangu huu ni kwa wale vijana ambao tulipata nafasi ya kusoma hadi level kubwa kidogo. Hapa nazungumzia watu wenye certificate, diploma, bachelor, masters n.k. Kwa mtazamo wako na hali halisi ya maisha hapo ulipo unadhani ni kiongozi gani anaweza kukukufaa na kubadilisha maisha yako?

Mimi ni kijana mpambanaji tena nirudie kusema kuwa mimi ni "Mpambanaji". Maana ya upambanaji ni hali ya kujitoa kufanya kazi yoyote ile regardless ni ya taaluma yako au nje ya taaluma yako. Pamoja na kusoma kidogo hadi nikapata degree ni kwa sababu ya juhudi za wazazi wangu na kidogo juhudi za serikali.

Kwa sasa nipo mtaani bila ajira, nafanya kazi za uvuvi na kusaidia mafundi ujenzi. Serikali haikusema kuwa ukisomeshwa lazima uajiriwe. Watumishi wa serikali wanasema tujiajiri. Mama yangu kama mlezi wangu mkuu aliwahi kuuza ng'ombe wawili kwa thamani ya laki 3 ili nisome. Kibaya zaidi "Mama yangu hajawahi kula matunda yangu tofauti na pesa kidogo ya boom niliyokuwa nikimtumia sometimes".

Usuniulize kuhusu baba maana tunaweza kukosana. Pamoja na juhudi zote nifanyazo katika maisha kitu nilichofanikiwa kumiliki ni uwanja/kiwanja cha kujenga ambacho nacho nilikipata kwa mbinde hadi leo sina hakimiliki yake japo ni kiwanja changu.

CV YANGU KWA UFUPI:

Bachelor of Education in Arts
Best Radio Presenter
Fisher
Comedian
Song writer
Director
Msanifu maandishi
Fighter

Kura yetu tunampa nani?
Nshauri mumpe Hashimu Spunda Rungwe ili mle kuku na muendelee ku bet. Ndio sera zake huyu mwamba
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,706
2,000
Fuatilieni sera ya kila chama- mfanyie critical analysis na angalieni kama zinatekelezeka! Halafu mfanye maamuzi

Unaweza kuwa na sera nzuri angalia pia mtu aliyepitishwa na chama kama anaweza kusimamia sera hizo vizuri

Usijekujida umejenga shule, madarasa, vituo vya afya huku hujiari waalimu wala madaktari wa kutosha wala huweki bajeti ya kutosha kununua dawa na vitu vingine- Bila shaka hauna tofauti na mtu aliyejenga maghala ya mazao yake
Hapa bila kukupesa macho Yani Wala kusikiliza Sela, Chama tawala hakitufai kuongoza taifa Mana ndo kipo madarakani na hakijatimiza Sela hata moja pamoja na kufukuza watu wenye vyeti feki lakini hakuna ajira zilizotoka nazani hii ilikuwa ni technic ya kuserve pesa, wenye vyeti feki mliofukuzwa kazi na sisi tuliokosa ajira .Tuungane kwa pamoja kuitoa hii serikali madarakani hapo October 28 kwa kujachagua kiongozi sahihi. Tuendelee kuwashawishi na ndugu zetu wali wenye vichwa vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
730
1,000
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa kupiga kura ,, unatakiwa kujuwa kuwa Nec ni ya ccm, police wa ccm na watangaza matokeo nao ni wa ccm sasa sijui utashindaje sasas
Hivi mlishawahi fikilia kwa kina yule bwana alivyosema Yani nikuteuwe uwe mkurugenzi, nikupe posho, nikupe salary, nikujazie gari mafuta na marupurupu kede kede harafu umtangaze kuwa mshindi 🤣🤣🤣
 
Unajua hata KANU (Kenya), UNIP (Zambia) na MCP (Malawi) kabla hawajaondolewa madarakani na wananchi walikuwa na na mawazo mgando kama hayo? Ni suala la muda tu kaka, hakuna kinachodumu milele. 🤣 🤣 🤣
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
4,480
2,000
Naam, wangekuwa wanatoka kwa kura, Maalim Seif angekuwa Rais wa Zanzibar zamani. Na angekuwa Rais mstaafu zamani. Baada ya uchaguzi huu, wapinzani wadai NEC huru kwa nguvu zote.
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa kupiga kura ,, unatakiwa kujuwa kuwa Nec ni ya ccm, police wa ccm na watangaza matokeo nao ni wa ccm sasa sijui utashindaje sasas
Hivi mlishawahi fikilia kwa kina yule bwana alivyosema Yani nikuteuwe uwe mkurugenzi, nikupe posho, nikupe salary, nikujazie gari mafuta na marupurupu kede kede harafu umtangaze kuwa mshindi 🤣🤣🤣
 
Ngajilo255

Member
Jul 8, 2020
30
125
Wajumbe..! Kwani mwaka huu tutaruhusiwa kupiga kura ya urais kituo chochote tanzania kama tulivyoahidiwaga awamu ile halafu derewa akabadili gia angani?
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,711
2,000
Kura aka kula mpe mwenye njaa, wanasiasa hawaaminiki hasa waafrika wanaahidi hiki wakishapata kura aka kula wanasahau yote. Simpi mtu kura hivi hivi
 
co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
293
500
Uzi wangu huu ni kwa wale vijana ambao tulipata nafasi ya kusoma hadi level kubwa kidogo. Hapa nazungumzia watu wenye certificate, diploma, bachelor, masters n.k. Kwa mtazamo wako na hali halisi ya maisha hapo ulipo unadhani ni kiongozi gani anaweza kukukufaa na kubadilisha maisha yako?

Mimi ni kijana mpambanaji tena nirudie kusema kuwa mimi ni "Mpambanaji". Maana ya upambanaji ni hali ya kujitoa kufanya kazi yoyote ile regardless ni ya taaluma yako au nje ya taaluma yako. Pamoja na kusoma kidogo hadi nikapata degree ni kwa sababu ya juhudi za wazazi wangu na kidogo juhudi za serikali.

Kwa sasa nipo mtaani bila ajira, nafanya kazi za uvuvi na kusaidia mafundi ujenzi. Serikali haikusema kuwa ukisomeshwa lazima uajiriwe. Watumishi wa serikali wanasema tujiajiri. Mama yangu kama mlezi wangu mkuu aliwahi kuuza ng'ombe wawili kwa thamani ya laki 3 ili nisome. Kibaya zaidi "Mama yangu hajawahi kula matunda yangu tofauti na pesa kidogo ya boom niliyokuwa nikimtumia sometimes".

Usuniulize kuhusu baba maana tunaweza kukosana. Pamoja na juhudi zote nifanyazo katika maisha kitu nilichofanikiwa kumiliki ni uwanja/kiwanja cha kujenga ambacho nacho nilikipata kwa mbinde hadi leo sina hakimiliki yake japo ni kiwanja changu.

CV YANGU KWA UFUPI:

Bachelor of Education in Arts
Best Radio Presenter
Fisher
Comedian
Song writer
Director
Msanifu maandishi
Fighter

Kura yetu tunampa nani?

Kumbuka kuna 15% ya board ya mikopo na kila mwaka riba inaongezeka...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom