Ugumu wa ajira siku hizi

socha

Member
Nov 25, 2015
42
24
Habari?

Natumaini mu wazima wa afya, kwa wasio vizuri kiafya poleni sana. Jamani kwa upande wangu nimetafuta sana kazi bila mafanikio mpaka nahisi kukata tamaa.

Nafikiria kujiajiri lakini mtaji nao changamoto kwangu. Kwa mwenye kazi au hata anaeweza kuniunganisha sehemu inapopatikana anisaidie jamani kwa mwanza au geita.

Please help me
Elimu yangu ni form 6
Kama uzi utakukera samahani ukinitusi haitakuwa haki jamani.

Asanteni.
 
Form six umesoma combinations gani?
 
upo mkoa ganii? nikupe ramani ya pesa ya biashara, japo sijaifanya Mimi ila kupita pita kwangu kupeleka watu machimbo yamenifa ya nijue biashara nyingi Sana za kawaida za mtaji kidogo faida kubwa.....tafuta Kama 80000 tu. nilichogundua kuwa machinga wanapata pesa Sanaa mjini hapaa kwa biashara ya kijingaa tuuu,
 
Hayuko Dar inaonekana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom