Ba Bii
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 160
Baada ya kuhangaika sana kwa mda mrefu kutafuta kazi jana nilipigiwa cm na shirika la Reli(TRC) kuwa nahitajika nifike ofcn kwao Mkoani Arusha.
Kwa mbwembwe na bashasha nikafika ofxn kwao nikiwa nimechomekea vzr sana.
Steshen MASTER akaniambia ww utakuwa upande wa mizigo yaani kupokea mizigo na kusimamia upimaji na kupakia kwenye GARI MOSHI. Ila utakuwa unajitolea wewe na wenzako mpaka hapo tutakapowaona munaweza kufanya kazi ndio tutaongea kuhusu mikataba..
Kwa mzigo niliopiga leo na degree yangu kichwani hadi nilijiona kama nimejidharau. kwa ushauri wenu niendelee au nisiendelee na hii kazi maana hata posho some time tunaweza tusipate na hata leo hatujapata et tunajitolea.....! Je kweli huu ni ungwana?