Dereva wa Uber, natafuta kazi ya udereva

Sep 22, 2020
16
45
Habari za majukumu kila mtu kwa nafasi yake, wakubwa Shikamooni.

Nikienda moja kwa moja kwenye lengo langu ni kuwa, mimi ni kijana mtafutaji katika udereva.

Ni dereva mzoefu kwa safari za aina zote ziwe zile ndefu au safari fupi.

Pia nimefanya kazi ya udereva wa gari za Uber (Usafiri maarufu DSM) kwa muda wa miaka miwili sasa bila rekodi yoyote ya ajali wala misukosuko mikubwa ya barabarani, kiukweli namshukuru Mungu katika hili.

Ndugu zangu, nimekuja kwenu kuomba msaada kiukweli, shida yangu kwasasa ni gari, ndugu zangu kama kuna mtu ana gari ambayo anatamami aitumie katika kujiongezea kipata naomba anisaidie tafadhali ili pia niweze kuendeaha maisha yangu hapa mjini.

Gari nililokuwa nalitumia zamani katika shughuli hii limeuzwa hivyo sina gari ndugu zanguni kwasasa.

Ninahaidi mbele za wote au yoyote mwenye nia kuwa mtiifu katika kazi na utunzaji wa gari pia.

Ndugu zangu,kwa mwenye uhitaji tunaweza kuwasiliana PM tukaongea au kukubaliana namna ya uendeshaji wa biashara hii kama ni kwa mkataba au kwa hesabu.

Magari pendekezwa ni yoyote tu yenye chini ya ukubwa wa injini 1290 au 1490.

Nitashukuru sana ndugu zangu kama nitafanikiwa.
hilo ndilo jambo langu wanajamvi.
Mungu awalinde na atulinde sote pia.

Ahsanteni sana kwa muda wenu.
 
Agenda1

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
1,490
2,000

Kuna member kaleta tangazo humu jana anahitaji dereva wa uber, mue mnapitia na majukwaa mbalimbali ya matangazo mara kwa mara. Tafuta uzi huo sikumbuki uko jukwaa gani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom