Programmers na marketers wanahitajika

Programmers na marketers wanahitajika

Digital Marketer

Senior Member
Joined
May 1, 2019
Posts
112
Reaction score
149
Za mida wadau, hii ni kwa watu ambao wapo vizuri kwenye kutengeneza websites pamoja na mobile apps, kwa upande wa pili kama kuna watu wanajua marketing vizuri nawakalibisha, naomba inbox namba yako ya simu na uwezo wako
 
Ni vizuri ukatoa ufafanuzi Mzuri, kwamba marking ya nini au ya kila kitu?
 
Za mida wadau, hii ni kwa watu ambao wapo vizuri kwenye kutengeneza websites pamoja na mobile apps, kwa upande wa pili kama kuna watu wanajua marketing vizuri nawakalibisha, naomba inbox namba yako ya simu na uwezo wako
Kama unahitaji tu 'Marketers' ninao na nitakuletea ila hawa 'Maketers' wako kama 'ulivyoandika' katika 'Headline' yako ndiyo unawataka Mimi sina.
 
Back
Top Bottom