MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,486
- 8,706
Tatizo la ajira huwa ni sawa na kitu kinaitwa Inflations, mfumuko wa bei huwa kuna wakayi unafika ni kwamba huwezu kuu controo tena yasni ni haiwezi kudhibitiwa.
Nchi kama Zimbabwe au Venezuela au Uganda kipindi fulani walifikia huko.
Tatizo la ajira ni kama lina puuzwa sana wazazi wako bise kuomba maji na baraba na madaraja ila wanasahau kuishinikiza Serikali kuhusu ajira.
Nchi kama Nigeria au South Africa wana tatizo la ajira ambalo lisha pitiliza na hawawezi lidhibiti tena hata wafanyeje.
Kenya nao ni kama tatizo lao la ajira lisha vuka mipk sasa hawawezi lidhibiti.
Tanzania tunaelekea huko na ndo tunafika yaani kama umelela ndo alfajiri saa 10 kuna karibia kukucha.
Mamlaka zinacheza sana na Tatizo la ajira na linaelekea kuwa nje ya kudhibitiwa, Wahitumu wamejaaa mtaani na hakutakuwa na namna ya kuwa accomodate tena.
Njia za kuweza kuwasaidia zinazidi kuwa nyembamba sana, wangeamua kujiajiri ila kwa mazingira yapi?
Mamlaka zitakuja kubeba lawama sana na hata watawala wajao watakuja kuwa na wakati mgumu sana ndo kinacho tokea Nigeria, South Africa, Kenya na kadhalika.