Position title
Engineering surveyor
Introduction
Tanzania Photomap Limited specializes in Aerial photography, Engineering surveys, Orthophoto /DTM , Line / Vector mapping and hydrographic...
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa letu. Nahitaji msaada wenu wakuu kupitia Ajira Portal kwenye huu mfumo wao wa sasa.
Nashindwa kuelewa nakosea wapi...
World Service Language Services is a key provider of content for the BBC’s global news operation providing news and content in 41 languages across all platforms for both UK and international...
Hello !
I'm 25 years old young man , currently looking for an opportunity to work as a caregiver to care for elder or special need.
I'm here when you need someone to watch over your loved ones...
Habari wakuu.
Hivi nyie ma HR mnapenda sana rushwa kuliko kuangalia taaluma ya mtu, yaani mtu ana vigezo vyote lakini mnakosesha kazi kweli?
Juzi kati nilipata jamaa akanipa mchongo wa kazi, na...
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote...
Salaam Jf,
Kama Uzi unavojieleza,natafta kazi itayoningizia kipato kwa lengo la kujikwamua kimaisha,nipo kyela--Mbeya,ningefrah zaidi ikiwa ndani ya wilaya ya kyela,Asanteni.
Habari wakuu?
Naomba kuuliza hivi mfano mtumishi amechukua mkopo Nmb mpya baada ya siku nne au wiki anapata barua ya uhamisho kutoka kwa katibu mkuu utumishi anahama kutoka kwa DED kwenda kwenye...
Wakuu pole na miangaiko ya hapa na pale napenda kuitambulisha kampuni yangu mpya inaitwa FOEMA COMPANY LIMITED
Kampuni yangu itajihusisha na huduma zifuatazo:
-Growing of Vegetables and...
Salaamu.
Nahitaji mwanafunzi wa mwaka wa pili SUA anayeingia mwaka wa tatu aliyesomea Agriculture General na anajua vizuri masuala ya kilimo cha kisasa.
Namhitaji kwa ajili ya ushauri kwenye...
tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi
kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box ,
tuambie kwanini ni ww na si mwingine...
Habar wanajamvi
Uzi huu unawalenga wanafunzi na wahitimu wa botanical science udsm, kwan wengi tunaomaliza hatujui sana kuhisu wenzetu ambao wapo kwenye ajira zingine tofaut na ajira za maafisa...
Habari wadau..!!
Mambo yamekuwa magumu maana wife anatafuta nafasi ya internship au kazi ya kufundisha masomo ya lugha kwa DsM.
Mwenye connection ya kibabe tuyajenge ,maana mjini hapa kama hauna...
ABOUT THE ROLE
The Toa Nafasi Project is currently recruiting a new Executive Director to lead the organization into its next phase of existence. We are seeking a passionate, committed, and...
Senior Manager; Mass Affluent
Job Title: Senior Manager; Mass Affluent
Reporting Line:
Location: Head Office
Job Purpose
To lead a team of Relationship Managers in growing the Mass Affluent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.