Ndugu zangu, Watanzania wenzangu, Baba, Mama, Kaka na Dada! Naombeni kazi ya kufundisha somo la Literature & History

passionate 7

Member
Nov 17, 2020
19
14
Ndugu zangu, Watanzania wenzangu, Baba na mama, Kaka na dada, ninawasalimia Kwa heshima kuu.
Mimi ni kijana wenu, mtanzania mwenzenu, mtumwa wenu!

Nimekuja kwenu kuomba Kazi, taaluma yangu ni ualimu wa masomo ya fasihi katika kingereza(literature) pamoja na somo LA Historia.
Nina shahada ya elimu chuo kikuu cha Dar es Salaam (DUCE).

Kweli ndungu zangu na wakuu wangu naombeni mnisaidie Kazi au hata Kwa kuunganishwa na sehemu ambako ninaweza kupata Kazi.

Naombeni Kazi wakuu wangu, nipo tayari kufanya Kazi popote. Nisaidieni, nisaidieni, nisaidieni ninaomba.

Ninaamini nitapata kibali machoni penu.
Asanteni sana,

Mawasiliano yangu ni 0628487783.

Asanteni.
 
naomba jiajiri kufundisha somo la English, fundisha English course watoto
 
Back
Top Bottom