Ma H.R nyie Mungu ana waona

Imembe

Member
Nov 13, 2020
51
125
Habari wakuu.

Hivi nyie ma HR mnapenda sana rushwa kuliko kuangalia taaluma ya mtu, yaani mtu ana vigezo vyote lakini mnakosesha kazi kweli?

Juzi kati nilipata jamaa akanipa mchongo wa kazi, na kuniunganisha na HR lakini HR anakazania hela ya maji, namuuliza shilingi ngapi anataka laki mbili hivi kweli jamani?

Ma HR muwe na huruma mtaani pagumu.

Mi dereva jamani mwenye mchongo anicheki, maana mtaani kugumu.
 

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
741
1,000
We mwenyewe umetenda kosa.....usimuhukumu mwenzio...kwanini janaa akuonganishie moja kwa moja kwa HR wakati utaratibu kazi zitangazwe kisha watu waombe...mfanyiwe interview...wewe ulipita mlango wa nyuma...any way # mitano tena.......hakikisha Una Tin number
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom