Nisaidieni nitimize lengo langu la kufanya kazi Airport

Status
Not open for further replies.

Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
1,405
2,000
Sidhani kama humu kuna mtu anafanya kazi airport hivyo hutopata majibu unayoyataka labda kama unatania.

Ushauri tumia google utajua hatua za kufuata.
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
Hello, katika maisha yangu nimekuwa nawiwa/natamani sana kufanya kazi Airport. Nimekuwa nafatuatilia Mara nyingi matangazo ya kazi katika website mbalimbali ili nione hata kama kuna nafasi za kubeba mizigo lakini hola.

Mpaka nikawa najiuliza Hawa watu wansofanya kazi hapo wanapataje? Nilishawahi pia muuliza Mtu ananiambia kazi za pale ni connection.

hivyo ndugu zangu naomba mnisaidie yeyote anayeweza uniunganisha na ofisi yoyote pale airport, nikashukuru. Iwe ni Swissport, Dahaco, Nass etc
Kuwa na 'Connection' na Binadamu pekee hakutoshi kukufanya upate Kazi au Mafanikio bali ukiwa na 'Connection' kubwa na Mungu utafanikiwa tu.
 
mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
281
250
Hello, katika maisha yangu nimekuwa nawiwa/natamani sana kufanya kazi Airport. Nimekuwa nafatuatilia Mara nyingi matangazo ya kazi katika website mbalimbali ili nione hata kama kuna nafasi za kubeba mizigo lakini hola.

Mpaka nikawa najiuliza Hawa watu wansofanya kazi hapo wanapataje? Nilishawahi pia muuliza Mtu ananiambia kazi za pale ni connection.

hivyo ndugu zangu naomba mnisaidie yeyote anayeweza uniunganisha na ofisi yoyote pale airport, nikashukuru. Iwe ni Swissport, Dahaco, Nass etc
Dahaco haipo kwa sasa kwa case ya ground handling. Dahaco ilikua merged na Swissport (T) PLC.

NAS wamepata anguko kwenye operations zake. Airliners weng wamewakimbia. Walikua wanawategemea KLM na ATCL, lakini ATCL wamesaini mkataba na Swissport (T) PLC kwajili ya ground handling services tangu january 2020.

Ko kwa muhtasari tu, taasisi ambazo unaweza kutegemea zitakuajiri pale airport ni SPT, TAA, labda na airlines (PW, Emirates) kwa JNIA au KADCO pale KIA.
Kwa KADCO na TAA ajira zinatangazwa Ajira Portal. Kwa SPT na airlines jitahidi kutembelea websites zao; kingne tafta watu wa ndani ya izo kampuni ili wakupe taarifa in case kuna vacancies zimetokea mana wewe kama wewe utashindwa kupata fursa yakuingia kwenye ofisi zao zilizopo airport due to limited access kwenye entry points za airport (mfano Swissport hua wanatangaza vacancies lakini kuziskia ni mpaka uwe na strong network kwajili ya taarifa, siyo tu mtu wakukuunganisha na kazi, bali mtu wakukupa taarifa kwamba kuna kazi zimetangazwa).
Kama utashindwa kupata network na mtu wa pale airport, jaribu kutafta kampuni zinazojihusisha na Aviation security kama UAS, place maombi. Wanaweza kukuita. Utaanzia apo kwenye AVISEC kama hatua ya kwanza yakufnya kaz kwnye industry unayoipenda. Either, kuna kampuni za usafi zinakua outsourced na TAA, SPT kwajili ya huduma ya usafi pale airport...zipo nyingi, lkn ninayoikumbuka kwa haraka-haraka ni GSM kwa pale JNIA-wako contracted na SPT. So, unaweza kupeleka maombi pale GSM kama Cleaner na pengine wanaweza kuku attach pale JNIA...na hatua yakwanza yakutimiza ndoto zako ikapigwa.

USHAURI: Ni vema, ukatafta kampuni zinazotoa outsourced service (kama cleaning) ukaajiriwa then utakua ume guarantee presence yako kwenye premises za airport ambapo itakua rahisi kupata taarifa za ajira zinazopatikana humo...na pengne more connection!

Kila la kheri!

Kind regards,
MwanaNjilo
 
The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,277

Umetoa ushauri mzuri.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,780
2,000
Hello, katika maisha yangu nimekuwa nawiwa/natamani sana kufanya kazi Airport. Nimekuwa nafatuatilia Mara nyingi matangazo ya kazi katika website mbalimbali ili nione hata kama kuna nafasi za kubeba mizigo lakini hola.

Mpaka nikawa najiuliza Hawa watu wansofanya kazi hapo wanapataje? Nilishawahi pia muuliza Mtu ananiambia kazi za pale ni connection.

hivyo ndugu zangu naomba mnisaidie yeyote anayeweza uniunganisha na ofisi yoyote pale airport, nikashukuru. Iwe ni Swissport, Dahaco, Nass etc
Ni kitu gani kilichokuvutia kufanya kazi airport na si sehemu zingine?
Kama unafikiri labda airport kuna maisha mazuri au kuna pesa nyingi unapotea sana.
Kuna marafiki zangu walishawahi kufanya kazi hapo airport kupitia swissport aisee walikuwa na maisha magumu sana,ila ukiwaangalia uniform zao walivyo smart kwenye staff bus zao unaweza kufikiri wana maisha safi sana.
Mimi kwa mtazamo wangu huo muda ambao unaupoteza kuwaza kazi ya airport ungefungua biashara ya genge au duka ungekuwa mbali sana kuliko kuwazia hicho unachowaza.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom