Natafuta Kazi/Internship

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
21,128
24,065
Wakuu habari za wakati, natumai mko salama kabisa.

Mimi ni muhitimu wa kozi ya ununuzi na ugavi ngazi ya shahada (Bachelor in Procurement & Logistic Management) kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA).

Jinsia yangu ni me niko hapa hapa jijini Arusha kwa sasa. Hivyo basi naomba kwa yeyote mwenye na uwezo wa kunisadia kupata moja vipengele tajwa hapo juu (kazi au Internship) nitashukuru sana.

Nipo tayari kwenda mkoa wowote hapa Tanzania au hata nje nchi.

Mawasiliano yangu ni 0694 154 420.
Email: piusbilaspaul@gmail.com

Asanteni.
 
Kijana uko Chuga unatafuta kazi mzee baba, kwanini msijipange kuhost wageni mzee
Wageni hakuna tunauza matunda tu na chakula baba ntilie tunapika na delivery inafanywa ..karibu.

Hapa najipanga nikafungue restaurant new Zealand
 
Back
Top Bottom